naibu waziri wa habari, utamaduni na michezo daniel nsanzungwanko akimkabidhi emmanuel herman wa gazeti la mtanzania tuzo ya mpiga picha bora wa mwaka 2006 wa habari za sanaa na utamaduni usiku huu kwenye hoteli ya rombo green view iliyoko sinza kwenye tamasha lililofana la tuzo hizo zilizoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za sanaa na utamaduni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ee Bwana ee hao waandaaji si wangemwandalia huyo jamaa hata kasuti ka mtumba tu! jamani mnamuona allivyovaa lakini!

    ReplyDelete
  2. Jamaa kachoka kichizi...Can u imagine yaani hapo kaupara akijua anakutana sijui na waziri,bongo kweli noma!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...