kina baraka na waombolezaji wakiwa kaburini tayari kwa mazishi ya mama yao mzazi leo makaburi ya kisutu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duh! hapo namuona Haji Janguo kijana wa Texas akiongea jambo na wajomba zake, Baraka Mayaula mwenye kanzu na bargashia na Baraka Msiilwa mzee wa Twangapepeta. Poleni sana jamani, mwenyezi mungu amueke mama yetu mahala pema Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...