Home
Unlabelled
kalala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haya ndo mambo, big up dogo anasukuma gari nzuri kuliko wabeba box wenzangu kibao
ReplyDeletewee annony unacheza hivi unafkiri wabeba mabox wanaendesha magari hayo mabovu ya 19 kweupe, i dont know where youre but magari mabovu kama hayo watu hawaendeshi period.
ReplyDeleteHalafu anapita kituo cha mafuta na kumwambia pump attendant "weka ya alfu mbili dada." Wabeba mabox wao wakiingia gas station ni full tank, upo hapo we anony unayewaponda?
ReplyDeleteHII NI MARK II YA MWAKA 1994 BEI NI USD 3,500 CIF DAR. USHURU NI USD 2,000.
ReplyDeletehivi hata kama angekuwa na la 1910,,na aweke mafuta 1/4 lita,,tatizo ni nini???
ReplyDeletenilimesikia akili ndogo husumbuliwa na vitu vidogo vidogo,,,pfffffffffff
FYI wabeba mabox wanaendesha magari mazuri hata matajiri wenu bongo hawaendeshi,kwanza magari mengi ya bongo yanatoka japan na dubai yamechoka yote yaani nimascrap ndo mnaletewa bongo.magari ya kijapan huku hatuendeshi kwani bei ni chee mno tunayaleta bongo waendeshe washkaji
ReplyDeleteMnh,
ReplyDeleteHii vita ya maneno kati ya (wanaoitwa) wabeba mabox na watu wengine hapa nyumbani! mi yangu macho!!
wenzenu bongo wanalipa cash ingawa ni hela chafu,lakini huku ughaibuni ukitaka gari jipya utalipa mpaka unatoka mvi,na watu wengi kazi wanazofanya ni unskilled,dogo pichani kajiita iddi,watu waliopo ughaibuni wengi wana hasira tu bila sababu,tooo wuch biliiiz!nendeni shule vijana mi niko state nasoma,kama makatarasi yamengonga semeni!
ReplyDeleteDuh, wabeba maboksi mmemind kinoma ila hayo mambo ya kiswahili bado yapo tu ya nani anafanya nini!!
ReplyDeleteWe piga mzigo kimpango wako, mkono ukienda kinywani majaliwa yako na kama haujaenda hautuhusu! Hizo story za nani anaendesha nini ni za miaka ya 90,kwa hiyo jali mambo yako achana na ya mwenzio kama unaogesha wazee haya,unabeba mabox kila la kheri,unajiuza kafe kimpango wako! Acheni majungu,dogo kapata mkate wake kwa juhudi zake mwacheni ajinafasi ndiyo gari alilolipenda!
Ila beba mabox tani yako, hukanyagi kwa mapapa wa jijini,labda kwa magari ya £600
Mimi changu kicheko tu maana hii vita hapa sijui wabeba maboksi,mara waosha wazee kazi ipo lakini yote ukiwa na chako ni chako tu hata kiwe cha mwaka 50.
ReplyDelete