uwanja wa ccm kirumba ambapo yanga watarudiana na esperance ya tunisia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. WEWE MICHUZIII NIWEKEE SHULE YA MSINGI NYANZA BASI, MBONA UIWEKIII.
    SALIMIA HUKO

    ReplyDelete
  2. wee msenge hapo juu mbona kama unalizimisha vile!!!!!!!!!hiyo sio kazi yake ok.kila mtu hapa akitaka awekewe picha yake misoup atachoka sana kwanza hatumlipi kitu ok.kila mtu atake his/her primary school or secondary school why.grow up man usiforce kiivo.

    ReplyDelete
  3. Ahsante Bro kwa picha ya Uwanja. Keep up good work!

    ReplyDelete
  4. SASA KUMBE TUNA UWEZO WA KUANDAA HATA KOMBE LA AFRIKA. UWANJA MZURI KABISA!

    ReplyDelete
  5. we anon hapo juu msenge bibi yako, kama wewe ulikimbia umande acha wivu, mwana haramu wee,
    beba maboksi huko hadi upate kibyongo

    ReplyDelete
  6. Viwanja vipo vya kutosha. Kama nchi kama Burkina Faso na Mali zimeweza ku host mashindano ya kombe la Africa sisi hatushindwi. Vinahitajika viwanja vinne au vitano tuu kufanyikisha hio shughuli. Mimi ningechagua ule Uwanja mpya (Dar), Kirumba (Mwanza), Sh Amri Abeid Karume (Arusha) na Amaan (Zanzibar). Kingine muhimu ni hoteli za kutosha. Hapo naona Dar, Arusha na Zenji ziko hoteli za kutosha. Mwanza wangeongeza kidogo. Baada ya hapo ATC pia ikodi ndege ndogo kadhaa kwa muda huo, kuongeza trip za Arusha na Mwanza. Mashindano tayari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...