haipiti wiki lifti za kitega uchumi cha shirika la bima mtaa wa samora huliza watu kwa kukwama. ikumbukwe hili jengo limeshashika moto zaidi ya mara tano kiasi cha kukimbiza balozi za india na ujeremani na kuacha wenye roho za paka wakiendelea kudunda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Ndo hiyo lifti akina Zephania Musendo walikwama nayo? Story ilitoka kwenye gazeti. Siku enyewe kulikuwa na joto kali, umeme ulikatika na ilibidi washushe soda kwa waliokuwa ndani ya hiyo lifti kusudi wasife kwa dehydration. Kulikuwa na watoto wa shule mle pia walotoka kwenye ofisi za wazazi wao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...