Home
Unlabelled
mpoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa tunaokunywa bia(sio pombe), hii baa bado ina mtori na supu bomba ya kuzimulia asubuhi kama enzi zile tukitoka Ikibinda nkoi ya Alan Mulumba Kashama(rapa) pale Sillent Inn Mwenge ?
ReplyDeleteIle nyimbo yao ya (salamu zangu kwako) wametumia methali nyingi sana na hizi methali karibia zote kila moja inamaana tofauti kabisa na nyingine, kwa hiyo wamejikuta wanaongelea vitu vingi sana mpaka wimbo ukwa hauleleweki kwenye ubeti wa kwanza. Kwenye ubeti wa pili na watatu walieleweka sana na ndipo nyipo ikaleta maana nawapongeza sana kwa muziki halisi wa kiafrika
ReplyDeleterhxoqsa, fasihi iliyotumika ktk wimbo wa MJOMBA ni ya hali ya juu sana na unahitaji tafakali kuelewa yaliyosemwa tangu mwanzo. Mambo hayajachanganywa.
ReplyDeleteHongereni sana Parapanda ujumbe mliomwambia mjomba ni kweli na ndiyo yanayofanyika HASA siku hizi. Mjomba si mjomba tena na tunasubiri kuulizwa SIZE ZA VIATU ALIVYOTUPIMA.