baraka msiilwa akifarijiwa na ndugu, jamaa na marafiki kwenye msiba wa mama yake mzazi aliyefariki usiku wa kuamkia leo kinondoni moscow. Mungu alilaze mahala pema peponi roho ya mama yetu mpendwa - amin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Namuona Onyango hapo, this guy is fun. Abou Semhando baba ziada,baba zaituni. Nasikia kastaafu. Hata mzee wa vimiss alikuwepo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...