spika wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh. samwel sitta (shoto) akimlisha kiapo leo mbunge mpya wa tunduru mh. mtutura abdallah mtutura ambaye amerithi kiti cha hayati akukweti aliekufa kutokana na majeraha ya ajali ya ndege aliyopata huko mbeya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ahsante kwa itikio la haraka, kila la kheri!

    ReplyDelete
  2. Ungetumia;
    '...aliyefariki...' badala ya 'aliyekufa'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...