naibu waziri wa habari, utamaduni na michezo daniel nsanzungwanko (kati) na mbunge wa kinondoni iddi azan (shoto) wakifurahia ustadi wa kucheza ngoma wa kinadada wa zemkala leo kwenye tuzo za waandishi bora wa sanaa na utamaduni kwa mwaka 2006.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hiyo miguu baba.kweli mijimama ya kibongo inatia nyege,hapa ni internet je live wakoje?Balaa tupu.
    Michuzi documentary ya Alhaji Idd Amini ninacheka mpaka kesho na kesho kutwa nimeitumwa kwa washkaji zangu kila mtu hana mbavu.

    ReplyDelete
  2. MBONA HIYO SPACE NI NDOGO SANA HAPO? INAELEKEA NI KAMA HII TAFRIJA IMEFANYIKA OFSINI KWA MTU SIO KWENYE UKUMBI! ANGALIA HAO WALIOKAA YAANI HATA NAFASI YA KUNYOOSHA MIGUU HAWANA...

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli nafasi ni ndogo sana kwa kucheza ngoma. Bahati huyo mama hakuvunjika mguu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...