bodigadi binafsi wa sir juma nature ni bonge moja la ninja!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi. Mtaalamu mmoja alisema: "baada ya Mr. Colt kugundua pistol yake, kwetu wote nguvu zimekuwa sawa" Kwetu Zinga tulikuwa tunasema: usijaribu, watakutrai (try).Mpingomweusi

    ReplyDelete
  2. Du huyu mlinzi amekaa kibandidu kweli yaani ukitaka kumtest jaribu kumtishia Ngumi Nature lakizima akurukie kama chui, si unajua kibarua tena. Ila safi sana

    Swali langu ni, je ana siraha gani ya ulinzi mfukoni, bastola, kisu, rungu au kiwembe?.

    ReplyDelete
  3. Huyo body guard kwanini kaficha sura. Kwanza na purple color.... te te te te, Nimecheka kufa..sina mbavu hapa
    kwani body guard ni shushushu????

    ReplyDelete
  4. hiyo minjemba haijui sheria wala nini yenyewe inachojua ni kupiga tuu..shenzi taipu kabisa ole wao waniguse maana nitayafunga jela yote na juma Nature wao

    ReplyDelete
  5. If you rock a ski-mask in any street round here you gon git shot on the spot lol!
    Sir Nature duin it biGGG!

    ReplyDelete
  6. Sir...Issa Michuzi kuna jamaa nasikia anatafutwa, kidogo pua na macho yake kama huyo wanaemwita mlizi wa Sir necha. Tunaweza tukapata sura kamili...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...