shule ya sekondari ya pamba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi umeweka picha za shule za sekondari za Lake, Mwanza na Pamba zikanikumbusha enzi nimemeliza fomu 6 nasubiri kwenda university mwaka 1994/95. Niliajiriwa kufundisha kemia na biolojia Thaqaafa sekondari. Nilifanya kufundisha Chemistry/Biology hobby yangu. Nikafundisha tuition baadhi ya wanafunzi toka Lake, Pamba, Mwanza, Taqwa, Sengerema na Nyampulukano sekondari. Kuna vijana wawili, mmoja wa Lake na mwingine wa Nyampulukano walikuja kupata point 7. Kwa waliowahi attend tuition zangu au kuwafundisha shule nilizozitaja nidungeni email at gmisinzo@gmail.com Kwa sasa namalizia PhD yangu, this september.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...