Home
Unlabelled
ray c
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi naomba utumie majina halisi ya miji unayotuonyesha kwasabbau wengine unatuchanganya ukisema Minesota, Michigan, ukerewe nk. Samahani kama nimeingilia ukumbi wako lakini hizo nick names unazotumia kidogo zinanichangnya. By the way website ni poa sana, mara nyingi huwa sipitilizi siku bila kuitembelea, endapo ikitokea nimepitiliza basi pengine ni siku moja tu au mbili.
ReplyDeleteMichuzi habari za pasaka? Naona ume enjoy ile mbaya.
ReplyDeleteMmhh, huyo Ray c ananiacha hoi na mabuti yake kwani sisi tunavyaa hayo wakati wa winter huku ughaibuni na spring tu ikiaza kwani kuna kuwa bado kunaubaridi sasa tanzania joto na mabuti wapi na wapi??????????????????????
bona Ray C anaingia kw mbwembwe lakini watazamaji kama hata hawataki kumuona. Watu hawako excited kabisa.... a picture tells 1000 words
ReplyDeleteWabongo kwa kuiga hatujambo, suala la kuvaa hayo maviatu sijui yanaitwa boot sijui matravota imekuwa kawaida kwa akina dada wanamuziki. Ilimradi wazungu wanavaa basi na wao wanaiga tu. Kwa kweli hali ya hewa ya Mwanza na hayo maviatu wapi. Michuzi jaribuni kuwaeleza hao dada zetu wanaonekana kama vikatuni tu. Rahma (Ukraine)
ReplyDeleteHivi huyu dada anashindwa kupanda jukwaani bila ya kuonyesha tumbo lake?Sauti na tungo nzuri anazo sasa ya nini aonyeshe tumbo kila wakati.
ReplyDeleteMtanzaniaAsilia
RAY C hivyo viatu ni vya WINTER ACHA USHAMBA!
ReplyDeleteSophia- U.S.A
hebu muone vile anavyosweti na hayo matravota! yaani mtu ulaya unakwenda bado tu unachemsha! ushamba uko kwenye damu weee mtoto!
ReplyDeleteJamani alivyokwenda majuu angetembelea miami na phoenix angeona watu wanavaaje kwa weather yao ya joto. hii ni style ya miji aliyotembelea ya baridi. sasa yeye kaibua vitu vya baridi na kupeleka huko na kuvaa huko. Nenda summer time uone watu wanavaaje my dear...kwasababu hizo corduroy na boots mh mh mh labda kama boots sio genuine leather.
ReplyDeleteAnother thing RAY C publicity sio lazima uache uwe uchi ucchi all the times. You are still beauty as it is...huhitaji kuflash hivyo
watu wanaonekana kama wamamdharau!!!yaani wanacheka kinafki
ReplyDelete