vicky kimaro akipokea tuzo ya mwandishi bora wa habari za sanaa na utamaduni kwa niaba ya salehe ali wa gazeti la mwananchi alieko tunisia kushuhudia mechi ya yanga na esperance ambapo tunaambiwa vijana wa jangwani wamekunywa 3-mtungi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuuuuuu!!!!Tuambie ukweli bwana kuhusu Vicky na tusogezee picha yake, sawa Saleh Ali kashinda hiyo Tuzo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...