
piga, uwa, garagaza lakini sir juma nature hana mshindani katika bongo fleva hapa bongo. leo kadhihirisha hayo wakati wa uzinduzi wa albamu yake na wanaume halisi wa tmk pale dayamondi kwa kuweza kuvuta watu wengi kuliko mwanamuziki yeyote wa ndani na wa nje ya bongo. yaani ilibidi polisi waingilie kati na kuzuia watu kuingia ukumbini kwa sababu za kiusalama, vinginevyo dayamondi pangepasuka! safari hii kachana na staili ya 'mapanga shwaa shwaa' na kuibuka na 'kung fu' na kuteka nchi...


Du nimekubali, kwa umati kapata ila ukifananisha na shaggy na Koffi, naona kuna Factor umeisahau, KIINGILIO, 4,000/= huwezi kulinganisha na 30,000/= au 100,000/=, watu wengi bongo ni PRICE SENSITIVE ukishusha unawapata wengi.
ReplyDeleteBIG UP NATURE, Naona unaanza kufaidi matunda msituni sasa
Kamua Baba Huna Mpinzani Yaan ni Huu Haa Tu Flex Kwenda Mbele 360 Usitoe Mguu Keepleft
ReplyDeleteJuma nature wa wa wa,da inatia raha sana kuskia watu wamemkubali!
ReplyDeleteNakukubaliii mtu wetu saa Necha kamuuuu.Ila pia wabongo nawakubaliii sasa pia kwani ile kasumba ya mabolingooo inakufaaaaaa.Wabongo keeps up kuwapata tafu wasaniii wetu Tuwatoe kama wasaniii wa nje na huko sijui ukerewe kwani hakuna jipya hapa kwa michuzi bila ukerewe kumbe ni Box kwa sana hata makamuzi hawana hao wabongo wa huko.Michuzi wape Tafu washabiki chukua hata wa manzese kuliko hao Vijitu vyako vya Reading.Wauliz ekwanza tageti wametimiza kabla ya kuja bongo?
ReplyDeleteWe r the ones who kills our own artists. Wapi Banza stone? Wapi Muumini? wapi Ali Choki, wapi wasanii kibaoooo ambao walihiti tukiwapa sifa kibaooooo? Tunawashabikia tukicheka na kufurahi kwa kutuimbia, tunapowachoka wafa kibudu. Hii ndio Mwamba wa Kaskazini anasema "Wanaponzwa na wanaowashabikia". So Nature kuwa makini mwana au siyo? Wingi na umati wa watu visikulevywe. Angalia how much peanuts u get kutoka kazi zako. Then tumia hela yako kujiendeleza mambo mengine mengine. Sio hapa watu wakishakuchoka unaaza kulia. Hafu kama nilivyosema tangu mwanzo kwamba u need to change in this rap game. Acha kufanya mambo ya ki-wangstaz. Fanya ki-gangsta. Hii album yako kusema kweli mi nyimbo nimezisikiliza redioni pamoja na jingles mlikuwa mkifanya Clouds FM, sijazikubali kabisa kama mnafanya HIP HOP. It's like mnajifanyia style yenu ambayo ni ya kitoto kidogo ambayo kusema kweli kama kweli ukiingizwa katika watu wanaofanya Hip Hop huwezi simama. Style lako ni tamu ila sasa acha kuimba nyimbo za mafumbo na majungu. Imba the real shit watu wafee the real shit. Au sio mwana. Big holla mwana. Kamua
ReplyDeletekamua,kamua sir natue,wasiopenda wameze nyembe, kamua mpaka wakome!
ReplyDeletehow is this african????????? ukiwa tz siku hizi kila mtu anajifanya yuko USA au UK. haya twendeni tu ukoloni mambo leo
ReplyDeletejua la bongo na hizo uniform za fire si kutaka kujichubua mzima mzima wewe juma kingwendu(hiyo sir nature ni maneno ya kizungu ya nini na utumwa umeisha zamani mbona mnajirudishia ktk majina sasa)
ReplyDeleteWewe anony wa 4.54pm kama ung'eng'e unakupiga chenga bora usionyeshe ukihiyo wako. Hivi unajua maana ya nature lakini!? Hebu angalia kwenye dictionary ili uelewe maana halisi ya neno "nature".
ReplyDeletenamkubali nature!ila nashkuru ukuta haujadondoka kama ile mwaka 2002 alipozindua ugali.maana unaona vipande vya ukuta vinakujia usoni halafu kumbuka umetoroka,namshukuru mungu nilinusurika,sijui ningeenda kumwmbia nini bi mkubwa.
ReplyDeletemanyunyu.