tambaza leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. michuzi vizuri nasubiri nione shule yangu,,sijui kama bado cardinal pengo hajaichukua,,, forodhani..

    ReplyDelete
  2. Hivi ile fence hawajajenga tu...inayo connect Muhimbili Primary na Tambaza..after all these years...dayuuum... a lil gardening wont hurt lakini watu watatorokea wapi i guess..

    ReplyDelete
  3. nimeondoka bongo ni kipindi kidogo,lakini tambaza haijabadilika sasa sijui kama elimu imebadilika!

    ReplyDelete
  4. DUH! Tambaza iko vile vile kama tulivyoiacha! Hiyo miti ndo imeongezeka. Wana madawati ya kutosha kweli?

    Hata kupaka rangi jamani? Nakumbuka vijana wa Tambaza walikuwa wankuja kwetu Zanaki kwenye maonyesho na shughuli zingine, siku zingine tunaenda kwao.

    ReplyDelete
  5. Chame letu Watoto wa Jeshini Halisi..walilifunga chama baada ya zali kuwa nyingi ..kinondoni wanaendewa zali letu...wachizi wote wa Tambaza popote mlipo leteni story

    ReplyDelete
  6. Tambaza inahitaji ukarabati wa nguvu. Wadau wajipange wapitishe harambee maana watu wengi wa shoka wenye mifuko mizito sasa hivi walipita hapo. "Tambaza - Conerstone of secondary education in Tanzania."

    ReplyDelete
  7. Mbona unawabania Azaboyz....tafadhali bwana mkubwa...Tupo tunalisubiri chama letu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...