
dj yusuf (shoto) ambae ni mkurugenzi wa tamasha la sauti za busara kapata tuzo ya bbc. hapa akiwa na dj eric soul toka ukerewe wakati wa tamasha la mwaka huu huko bichi ya kaskazini ya zenj ya kendwa. habari zaidi za tuzo hiyo bofya hapa. hongera dj yusuf a.k.a mzee wa busara a.k.a hakuna kulala...


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...