
mzee upara akiwa na wasanii anaowaongoza wa kundi la kaole leo ukumbi wa tzf kigogo. mzee huyu ambaye jina lake halisi ni mzee fundi saidi ni moja wa wasanii wakongwe waliosalia kwenye fani. atakumbukwa kwa sauti yake nzito kwenye vipindi vya michezo vya rtd, akiwa kama baba ubaya, na pia kwenye tamthilia ya filamu tanzania ya anko katalambula ya simu ya kifo


hawa maisha tena
ReplyDeletehuyo hapo kando ni kaka yake?? naona kama wanafanana hivi...!?
ReplyDeletehuyu ndiye alikuwaga pia kwenye vipindi vya Pwagu na Pwaguzi?
ReplyDeletehuyu alikuwa akiitwa kikaango namkumbuka sana mzee huyu
ReplyDelete