"...sisi sote wa afrika mashariki ni kitu hiki, kimoja" anasema profesa j (shoto) akiwa na noninii toka nairobi kwa watani wetu wa jadi baada ya noninii kufanya mavituz dayamondi usiku huu kumpa taff sir juma nature...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. wametoka bomba ila mnafanya bongo flave a.k.a tanzania flava sasa huyo snoop wa nini? hakuna lolote la kuiga kutoka kwake hana dili kuubwa sasa UK wamempa ban ya kuingia kwao juzi tuu..vaeni basi t-shirt za watu wanaoendana na bongo fleva..kama nature,mwasisi mr.II na wengineo si hao wahuni wa Bush

    ReplyDelete
  2. wametoka bomba ila mnafanya bongo flava a.k.a tanzania flava sasa huyo snoop wa nini? hakuna lolote la kuiga kutoka kwake hana dili kuubwa sasa UK wamempa ban ya kuingia kwao juzi tuu..vaeni basi t-shirt za watu wanaoendana na bongo fleva..kama nature,mwasisi mr.II na wengineo si hao wahuni wa Bush

    ReplyDelete
  3. weee keroro umekula mafuta au??? mhh hata sijakutambua kabisa mhh mbaya sana ulikuwa na umbo zuri sanaa nasikitika

    ReplyDelete
  4. Wewe anonymous 11:37:00 AM hao unaowaita wahuni wa Bush ndio wasisi halisi wa miondoko ya hip hop. Sisi sote ambao tuna elimu angalau kidogo na tuko exposed tunajua kwamba bongo flava is a hip hop offshoot that is indigineous to Tz. Sisi sote ni binadamu wacha chuki. Mambo yakujigawa kidini, kitaifa, kirangi, kikabila, kitamaduni hayana manufaa.

    ReplyDelete
  5. Anony wa 7:41:oo asili ya hiphop/rap ni ngoma/nyimbo za kitamaduni za baadhi ya makabila ya Afrika magharibi kama vile Olof/Walf la Senegal,Gambia,Mali,nk na Mandingo la Guinea,Senegal,Ivor Coast,n.k Watumwa waliubeba utamaduni huu na wala haujabadilika sana.

    Hawa jamaa wa A/magharibi wana ngoma/nyimbo zao ambazo fanani huwa anaimba/anaghani kwa mtirirko wa haraka sana na vingoma vinamfuatia kwa mbali na huku wanawake wakinema na kufatisha midundo kwa madoido.

    Ukifuatilia kwa makini na kufanya utafiti kidogo eneo hilo la Afrika utaujua ukweli kwasababu hata hiyo miziki bado ipo tangu kale na inatunzwa kama sehumu za utamaduni wao.Tofauti na kwetu A/mashariki,hao wenzetu wana koo maalumu za wanamuziki na sio kila mtu anaimba.

    Pia wana watu mahususi kwa ajili ya kuhakikisha maadili na tamaduni zao zinalindwa.Hivi tunajua hata ngoma/matamasha ya samba yaliyo maarfu Brazil yalianzia maeneo ya Angola/Congo?

    ReplyDelete
  6. Namshangaa anayesema hao wamevaa fulana za snoop!! Hizo fulana zina picha zao wenyewe...

    ReplyDelete
  7. Hata mimi namshangaa huyo jamaa,snoop yuko wapi hapo kwenye hizo fulana?Nonini yake haionekani vizuri lakini imeandikwa 'Genge' muziki wa vijana Kenya.Prof J,yake inaonekana wazi kwamba ni yeye mwenyewe..sasa snoop yuko wapi??Uwe unaangalia kwa makini,kabla hujatuwekea maoni yako hapa.Hilo ndo tatizo la kuangalia kasoro ya kila kitu,mnapenda kukosoaaaaaaa.Tabia mbaya..hilooooo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...