toka shoto ni salim mbonde wa rtd, mfadhili wa simba fakhruddin amijee, chesi mpilipili na mie tukiwa ymca kushuhudia michuano ya kombe la klm cup la voleboli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2007

    Duh! michuzi, hio ni mwaka gani? mbona mnaonekana bado mlikuwa macheki bobu na huyo jamaa chesi?
    hivi mzee Salim na Amijee wako wapi siku hizi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2007

    hiyo jeans ya chesi mpilipili ni ya mwaka 1993. kwhy tuanzie hapo kutafuta mwaka wa picha hii,,,,

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2007

    hiyo jeans inaitwa savco halafu picha ingeenda mpaka mguuni amevaa tafu buti nyeupe

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2007

    Du michu una albam nzuri sana ya picha za kumbukumbu, kweli hiyo ni nineteen kweusi, maana hapo inaonesha hata technology ya digital camera ulikuwa bado hujaijua. ila camera yako bomba maana umeiweka hiyo picha juu ya meza ukaichukua tena inaonekana kama original

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2007

    ..Chesi alikuwa anatoka safari? naona kama ana mzinga wa begi.., ama??...!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2007

    halafu michuzi wewe brazaman flani hivi, au sijui checkbob?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2007

    Kumbe Michuzi kushika shika watu hujaanza leo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...