mmoja wa ma-mc nyota wa kike bongo, anjela. hapa ni katika chiken pati hivi karibuni. shughuli nyingi ambazo ni shughuli dada huyu humkosi. shughuli hiyo kwake ni ya kuwashia mwezi baada ya kazi yake ya kuajiriwa kampuni ya simu za mkononi ya vodacom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2007

    Namzimia kichizi anafaa kote yuko Ni BOMBA na sauti anazo kibaoooo namfagilia sanaaaaaa

    Mama Aku

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2007

    Yes Sister wangu huyo Jamani Anjela Bondo nampenda sana kwani kazi ya anaijua, kwa ujumla huyu dada ni muungwana sana hana maringo wala makidai keep it up sister.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2007

    Hivi ulikuwa unamaanisha hiyo party inaitwa 'chiken pati'???Hata kama nia ni kuandika kwa kiswahili si ungeandika basi 'kicheni pati'
    Labda ni mpango wako,maana we bwana kwa viswahili...sikuwezi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2007

    misupu umenichekesha jinsi ulivyo chapia,kicheni wala siyo chikeni,au siku hizi ndivyo mnavyo ita.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2007

    Amependeza hapo ilikuwa usiku au mchana?, maana ana Night Vision Goggles.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2007

    Angela hongera sana wangu, mambo yako sio mchezo.Mungu akusaidie uzidi kupanda chati siku hadi siku.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2007

    Michu, hawa ndio watu wa kutuwekea sio kila siku chifupa chifupa,nakufagilia sana mdada unajitahidi sana katika katika U mc

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2007

    Michu, hawa ndio watu wa kutuwekea sio kila siku chifupa chifupa,nakufagilia sana mdada unajitahidi sana katika katika U mc

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2007

    Michu hebu mtafute na mama TERI siku moja utuwekee maana ndio waanzilishi wa CHIKEN PART hao.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2007

    Wa wa Da Angela! kweli nakufagilia.. na nakuzimia kinoma... yaani hapo sasa...inabidi nikuwahi nami siku yangu uje fagilia au sio...

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 23, 2007

    Ciao sorella....sei GRANDE..LOVE you SUPER GIRL... a big hug da tuo fratello... mic you... BOOM THEM BONGO people man I say..stay easy..babe.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 23, 2007

    sorella..Im proud of you...BONDO's system...tuo fratello..RJGB

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...