
msanii ambwene yesaya a.k.a ay amerejea toka nairobi ambako alikwenda kufanya shoo. habari kutoka huko zinasema ay alitesa vilivyo na pia wasanii wa bongo sio tu wanakubalika bali pia wanaheshimika sana kwa watani wetu wa jadi kuliko nyumbani...msikilize ay kwa kubofya hapa


Hello Pageant Fans!
ReplyDeletePageant Almanac's Miss Universe 2007 Pageant Playoffs Top 20 has finally
been chosen!
In alphabetical order:
Angola - Micaela Reis
Brazil - Natália Guimarães
Curacao - Naemi Monte
Denmark - Zaklina Sojic
Dominican Republic - Massiel Taveras
Greece - Doukissa Nomikou
India - Puja Gupta
Italy - Valentina Massi
Japan - Riyo Mori
Korea - Honey Lee
Mexico - Rosa Maria Ojeda Cuen
Norway - Kirby Ann Basken
Peru - Jimena Elias
Philippines - Anna Theresa Licaros
Russia - Tatiana Kotova
South Africa - Megan Coleman
Spain - Natalia Zabala Arroyo
Tanzania - Flaviana Matata
USA - Rachel Smith
Venezuela - Ly Jonaitis
Stay tuned for an email that will give you the chance to vote in Round 3
of the Pageant Playoffs. Round 3 will cut the Top 20 to the Top 15.
--- Pageant Almanac
MICHUZI ILI UWEZE KUPIGA KURA LAZIMA UWE MEMBER WA ALMANAC.WADAU WABONGO INGIA KWENYE SITE NA JIANDIKIKISHE ILI UWE MWANACHANA HATIMAYE UPIGE KURA. WATANZANIA HIMA HIMA HIMA.
SAMBAZA UJUMBE SI VIRUSI
si unajua tena nabii hawiki nyumbani, au inawezekana huyu jamaa anatengeneza muziki kwa ajili ya soko la Kenya ndio maana anakubalika huko.
ReplyDeleteLakini mbona amevaa kishamba sana hapa?
Usemalo ni kweli bwn Michu, sisi wabongo tunatabia ya kudharau chetu na kuthamini vya wengine. Jamani tujifunze kuthamini wasanii wetu!
ReplyDeleteWatani wetu wa jadi na muziki wapi na wapi!? Nenda mahusiano usikilize vitu vilivyopangwa na kupangika. Hamna matusi bali nyimbo ambazo zinakupa msisimko mkubwa kila unapozisikiliza pamoja na kuwa nyingi ni za miaka 20, 30 au hata 40 iliyopita. Mie hao wasanii wapya hata hawanigusi kabisaaaa!!!. Kuna wachache wanaojitahidi (majina kapuni) lakini bado wana safari ndefu sana. Michu mbona umeminya maoni yangu kuhusu mkorogo? Acha hivyo!!!!
ReplyDeleteMchango wangu wa senti kumi huo
Kamua mwana, ila sifa zisizidi uwezo na kipaji chako, ila nasikia uliwekwa selo Kenya baada ya kutompandisha Matonya jukwaani wakati umeshapokea hela, ni kweli?
ReplyDeleteKuwa makini, utapoteza mashabiki.
Ni kweli umevaa kishamba, ukiwa kama model inatakiwa upangilie mavazi.
Unajua wasanii wa kibongo wanatesa nchi jirani kwa sababu ya kuwepo kwingi wa vituo vya TV na radio station nchini Tanzania.Ukiwa na dishi na LNB poa TV station za bongo zinaonekana mpaka Gabarone, Botswana (at least TVT), na ITV, Star, EATV etc zote zinaonekana in east and central Afrika. Madishi na LNB nyingi hazishiki TV za nchi jirani(ingawa LNB yangu inashika a Mozambique channel)
ReplyDeleteKuna jamaa kaniambia Juba, southern Sudan, wanashika na vilevile Oman and/or somewhere in the Persian Gulf wanawapata fresh EATV
Vilevile, kuwepo kwa recording studio nyingi in TZ pia kunasaidia sana wasanii wa kibongo wapendwe kwani wakwao wanakuja huku kurekodi.
AY ni mwanamuziki makini sana, ila shida yake ni moja tu, kundi alilo nalo. Kundi la East Coast limejaa watu wasio makini, ndio maana hata nyimbo zao nyingi ni za majogambo na kuponda watu. Unafikiri kwa nini Mwana FA kajitoa? Kachoka! Nasikia hata AY yuko mbioni kujiengua katika kundi hilo.
ReplyDeletekaka michuzi muangalie dada yako nancy katika video ya mkali wa hiphop mtoni
ReplyDeletesio vibaya ukaipost mbele ili wa tz tujivunie nae
http://www.youtube.com/watch?v=icyw2VuOAHs&mode=related&search=
wazee wa Licoln, Uk
Ni kweli wanamuziki wa bongo wanawika zaidi nje kama X plastaz kuna wabongo humu ambao hawawajui bt sikilizia wanavowika ughaibuni!! Ila nawapongeza wabongo kwa kuthamini vya wenyewe atleast kwa wakazi wa tmk wanaozimikia sana hip hop kuliko wakazi wengine wowote kati ya watu 10 9 wana tape za bongo fleva. nchi kama kenya duuuh inakuwa ngumu!! AY KIP IT UP!!!
ReplyDeleteMICHUZI we need habari za hawa watu maana wamepotea sana:
ReplyDelete1.SYLVIA BAHAME
2.MANDOJO na DOMOKAYA
3.RAH P
4.MWISHO MWAMPAMBA
5.OTHMAN NJAIDI
6.IRENE KIWIA
7.LIL TK(TEDI KALONGA)
alafu naskia eti loon alivokuja aliwashalawena sana TK na nacy sumari mpaka wakawa na bef ivi ni kweli au??tudodose.