bi. kidude na kundi lake la taarabu la culture watafanya onyesho jijini Tokyo tarehe 19 mwezi Julai. kipeperushi samahani kimeandikwa kwa lugha ya kijepu lakini nina imani wadau wengi wa blogu yetu walio japani hawana shida kusoma maandishi hayo.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. natumaini kusikia bi. kidude kwetu tokyo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2007

    Kwa watu wa taarabu majina yana maana Mfano Bibi Titi Mohamed aliitwa vile sababu ana matiti makubwa sana na Bibi Kidude aliitwa hivyo kwa Sababu ana Mzinga wa kidude! Huyo bibi achana naye.Siyo kama wanawake wengine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...