
waziri mkuu mstaafu frederick sumaye akipokea filamu za 'tusemehe' na 'bongoland I' toka kwa da'chemi huko boston. mh. sumaye amezifagilia sana filaumu hizo na kusema ni nzuri na kutumai wabongo wengi wataziangalia. habari zaidi bofya hapa
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Che ponda masikini ya mungu hua tunamtania kumbe ni mama kabisa?Kwa niaba ya vijana wenzangu nakuomba msamaha,ila nakuomba usizeekee ulaya rudi nyumbani ukaanzishe msingi wako social security hatakupeleka mbali.
ReplyDeletechiku aka chemi upo kwenye kampeni za ubunge naona sumaye akishaika wewe ndio utakua chifupa wa enzi hizi tatizo wee zee..saa hayo macd yanakuhusu nini wakati wewe wa konyagi tu...duh wee kweli hujatumia mama unatakiwa kupepewa..
ReplyDeletemichuzi acha kubania komentis basi hii ndo skejo ya mzee nini? manake kinachotokea vegas kinabaki ....
ReplyDeleteacha mzee ajivingari mama sumari mzee yuko taken care of dont worry
michuzi ukibania hii basi siji tena kwenye site yako
duh michuzi mbona hauna freedom of speech? hii komenti utaiachia ulivo unaogopa sirikali ya sisiemu si uhamie ughaibuni tu kama ndo hivyo rusha komenti zangu bwana
ReplyDeleteUNAJUA WATU WASHAMBA SANA, SI WENGI WANAZOFAGILIA HIZI FILAMU LAKINI HAIJAMBO, NI KAMA VILE WATU WANAVYOFAGILIA VITU MBALIMBALI NA WATU MBALIMBALI KAMA AWALI KWENYE PICHA YA JEZI YA -EMIRATES- BWANA WENGINE WANAMKANDIA MHE-AMINA CHIFUPA NA WENGINE TUNAMFAGILIA KWA SAAAANA TU YEEEEEEEEEEES!
ReplyDeleteNA BIBIE NI FREE OF CHARGE SASA NI SINGE SAFI SANA YUKO HURU BEAUTIFU AMINA CHIFUPA.
ILA BWANA KATI YA WAKURUGENZI WALIOTAJWA KINA BENI MULOKOZI, CHALESI MUTAWALI, EDDY MWINYI, SAMUELI MABIBA WANASAPOI WA NGWASUMA????HUYU SAMUELI KAFAGILIWA SAAAAAAAAANA LAKINI BORA NIMWAGE UKWELI HAPPA. BWANA EEEE SAMUELI MABIBA HILI MALI ANAZOSIFIWA NAZO SIO ZAKE NI ZA-BABA YAKE- MZEE MABIBA. NDIYE MWENYE VISIMA VYA MAFUTA NA MAHOTELI NA BIASHARA KAZAA. HUMU JAMVINI BWANA KWA MHESHIMIWA MICHUZI UZURI WATU WANAMWAGA UKWELI. MIMI BINAFSI NAWAFAHAMU HII FAMILIA POA SANA ILA MZEE MBWA MKALI SANA. HUYU MZEE ALIKUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA CALTEX OIL TANZANIA LIMITEDI. SASA AMESITAAFU WAZUNGU WOTE WALIKUWA WAKIMHARA.
KWAHIYO NDUGU ZANGU MALI SIO ZA SAMUELI MABIBA NI ZA BABA YAKE.
ASANNTENI.
kulaleki wazawa leo ndo nimestustukia sirikali ya sisiemu noma hadi michuzi anaogoma komentis nimetuma 3 kaweka kapuni poa tu, ndo maana si tunawaambia haturudi mnatuona gozigozi
ReplyDeleteah kumbe da chiku ndo chemi?
ReplyDeleteHello anon friday, May 18, 2007 11:27:00 AM nafikili kile unachotaka kueleza ni kizuri lakini tabu ni moja sijaelewa maelezo uliyo toa..... duh mzee michuzi tusaidie tafadhali.....
ReplyDeleteWaswahili siku zote ni waswahili! Hii posti ni ya masinema lakini waswahili wana comment juu ya Amina Chifupa, Chiku na upuuzi mwingine. Hizo sinema zote mbili nzuri sana na ingekuwa vizuri vijana wa Bongo wazione kama alivyosema Mheshimiwa Sumaye.
ReplyDeleteBurundi refugees move to U.S. after 35 years in exile:
ReplyDeleteThe first of some 8,500 Burundian refugees who fled their homeland 35 years ago have begun a long journey from camps in Tanzania to new homes in the U.S. cities of Atlanta, Georgia, and Phoenix, Arizona, the United Nations said on Friday.
Michuzi umekalia comment nyingine duh...I didn't know...
ReplyDeleteSir Issa...TUNASHUKURU SANA KWA PICH HII NA UJUMBE WAKE...HUYO DADA MARA YA MWISHO ALIONYESHA CHAPA NGUVU.."KONYAGI"..LEO ANOTUONYESHA "..MUVI.." AKIWA NA MHESHIMIWA MSTAAFU SAFI SANA...MNATUONYESHA UMOJA NA MSHIKAMANO...TUVIPENDE NA KUVITHAMINI VYAKWETU...MHESHIMIWA SUMAYE.."...UTAMU WA NGOMA UINGIE UCHEZE..."
ReplyDeleteHAO WOTE WANAOSAPOTI WANANGWASUMA NI KWAMBA WENGINE WAMECHACHA ILA TU NI SIFA ILI WATAJWE MAANA WANANGWASUMA HUWA WANAWATANGAZA KWA MAJINA...WANAOTOA MAPESA KAMA KINA BENI MULOKOZI MWENYE NGOMA, NA ANA MKE LAKINI KWA DOSHO WA NJE NDIO MWENYEWE, EDDY MWINYI, CHALE MUTAWALI NA HUYO SAMUELI MABIBA NILIKUWA NGWASUMA JUMAMOSI NILISIKIA WOTE WANATAJWA KATIKATI YA NYIMBO WANAZOIMBA WANANGWASUMA WAKIWATAJA KWA MAJINA. LAKINI NI VIZURI KWANI WANA WASAPOTI VIZURI, NA HII NI BENDI AMBAYO IMEKUWA MAARUFU SANA HAPA BONGO TUZIDI KUWA NA RAHA. NA KUJIVUNIA SIKU HIZI TUNA BENDI NZURI. NA SHUKRANI MHESHIMIWA MICHUZI KWA KUWA NA MTANDAO HUU AMBAO TAARIFA MANDHURI SIKU HIZI. HONGERA BABA.
ReplyDelete