miss universe tz 2007 flaviana matata inasemekana anatesa huko mexico kwa kuwa mrembo nechuro kuliko woooote wanaoshiriki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2007

    I am sorry huwa nafagilia watu nachuro lakini mwanamke akisha toa nywele zote kichwani...kwangu anakuwa kama...sijui nini. Mwanaume gani hamaind nywele? Wanakijiwe niambieni....

    ReplyDelete
  2. Nakubaliana nawe kiasi lakini kwa upande mwingine sikubaliani kwani inategemea unaposema natural unamaanisha nini.Lips zake na kope zipo natural pia?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2007

    we anon wa kwanza hapo acha uzushi kwani kama haupendi wewe na wenzako wasipende?? toa hoja zilizoenda shule sio unajiangalia wewe tu,, acha ushamba

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2007

    mmh jamani huyu dada mzuri, ila tu asirudi bongo akafwatwa fwatwa na lile kundi lililokuwa likijiita G8 sijui G7 enzi za 99-2002, akajiona mzuuuuuuuri saaaaaana ataishia kama kina odemba na mamiss wengine wote..virusi virusi tupu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2007

    Huyu kama mkimbizi vile wa kwetu kweli au wakuhamia?

    Utazania katoka wale wenye njaa wa sudani au ethiopia.

    Huko mehico wampe tamales na taco nyingi tu anenepe.

    Naturally wakati ana make-ups kibao au kwa kutoku add boobs na vitu kama hivyo? Ukisema natural sijui kama make-ups haziko accountable

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2007

    Sir Issa vipi Mzee PICHA SALAMA KABISA HII...UA LIMECHANUA HILI... >$$$,$$$,$$$...NAAAM...BARAKA...HAPO NDIO UZURI ULIPO...KUNAKALE KAMSEMO KANAKOSEMAA..."_______WAACHIE WENYEMENO WATAFUNE"

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 04, 2007

    jamani mbona wabongo watu wa kulaumu tu!hao dada zetu wakivaa wigi mnalalamika,nywele zetu kipilipili,na huyo dada katoka pina naamini atafika mbali.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 04, 2007

    MICHUZI HIVI HUYU DADA ANAKUJA MAREKANI KUFANYIWA CHEMO THERAPY? AMA TAYARI AMEANZA KUFANYIWA CHEMO THERAPY HUKO HUKO BONGO MBONA YUKO BOLD HEADED KAMA MWENYE CANCER?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 04, 2007

    You go, girl! Do your thing! Make Tanzania proud!

    Short hair? No problem to me, afterall, its just another hairstyle, and, at least she is not giving thanks to them Korean women for their "wonderful" fake hair!!

    "Kitumbua changu kimeungua upande mmoja,
    Ule upande mzuri atakula Mwana Lulu,
    Mwana Lulu, Afrikan lady, Mwanalulu" Jah Kimbute, Roots & Kulture

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 04, 2007

    sikubaliani na wewe kwani hiyo ni style mojawapo ya mwanamke natural. nafikiri hiyo ni imani yako tu kwamba mwanamke kwako lazima awe na nywele. pia kumbuka kwamba pengine alifanya hivyo kama triki tu ya kutafuta ushindi na ukaupata. hata hivyo anawakilisha uhalisi wa mwanamke au msichana wa kiafrica.
    Matata cha msingi kuwa na adabu na heshima kwa wakubwa nawadogo pia. jivunie nchi yako.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 04, 2007

    Kaolewa huyu? Mi natafuta Mchumba

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 04, 2007

    Jamani nyie binadamu mbona hivyoo? hamuwezi hata ku-appreciate? Jamani she is got the looks kusema ukweli!! Tujiulize ni wangapi kati yetu tunaweza kunyoa vipara kama huyu dada na tukabaki tunavutia??? Jibu unalo wewe, mimi na wengine pia. Go girl, make it to the top!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 04, 2007

    NAONA MNAZUNGUKA TUU OOH MARA WATZ MNALAUMU SANA SIJUI ANGEACHA NYWELE NGOJA NIWE SIMON COWELL HAKA KABINTI HAKAVUTII KABISA PAMOJA NA UNATURAL WAKE SIJAMPENDA KABISA UZURI WA BINTI AKINYOEA NYWELE UTAONEKANA ZAIDI KUZINGATIA NA JICHO,PUA NA MIDOMO AMBAVYO VYOTE HANA VIKO KATIKA REGULAR CLASS AT LEAST KAPUA KIDOGO VINGINE HAMNA KITU ILA KAMA KWA KICHWA KUKO MAZIMA BASI ANAWEZA FIKA MBALI.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 04, 2007

    JAMANI, GOD'S CREATION IS GOD'S CREATION. HAKUNA MWENYE HAKI YA KUSEMA MTU NI MBAYA ETC ETC. KAMA MBAYA KWAKO HUYO HUYO NI MZURI KWA MWINGINE, SO NO POINT ARGUING ON SUCH PETTY THINGS.... MUNGU ANAUMBA KILA MTU TOFAUTI KIVYAKE, NA KWA HIVYO TUSIKOSOE KAZI YAKE

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 05, 2007

    Hey annnoy hapo juu may 4 10:13 sio kuwa tunamkosoa Muumba kwa vile kama ni hivyo basi kusingekua na hayo ma beauty pagents. Wao wanachagua mzuri wa wazuri na wana classifications zao upende usipende. Kama uko mfupi hutafika popote. Sasa je utasema hawa wanamkosoa Mungu kuwa watu wafupi sio wazuri???? ...No....the miss so and so and the modeling thing is just like another job my dear.

    Na hapa watu wanajaribu kufikiria kufuatana na knowledge na previous back experiences je anaweza kutufikisha popoete. Au kila siku tutakua tunakwenda kusindikiza wengine.

    Zamani TZ walikua wanachagua tu mtu ilimradi anajua kingereza au ni mtu ambaye familiar yake ni fulani. Halafu wakienda huko hata hawafanyi chochote. I hope wamechange na kuelimika

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 06, 2007

    think she deserve to be model...but she cant attend beuty contest.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...