namkabidhi hafsa kazinja tuzo yake ya wimbo bora wa zouk kwa mwaka 2006 wa 'presha' kwenye kili tanzania music awards usiku huu. juu tunamsaka banana zorro aliyekolabo naye lakini bahati mbaya msanii huyo alikuwa kenda uani, hivyo akakosa snepu hii muhimu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2007

    michuzi muhuni bwana, we unatoa award huku unakodolea matiti badala ya kumwangalia usoni?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2007

    Mchuzi shavu kama umepingwa ngumi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2007

    michu,huyu mtoto yuko bomba sana,ngoja nikija bongo lazima nimsake,nipelekee salaams.
    chamtoto

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2007

    tunakuaminia sana mkongwe umetoka mbali na una mwili mzuri maana mimi tokea mdogo kipindi hicho magazeti bongo ilikuwa Uhuru, Mzalendo, Mfanyakazi, D/News na S/News tulikuwa tunaona picha zako na habari za kina Lukumbo na wengine sijui kama bado wapo hawa watu nilikuwa nikiona picha tu naangalia imepigwa na nani nafurahi mzee bado unawakilisha mpaka ulimwengu huu wa leo
    blog yako imekuwa kama kifungua kinywa kwangu kila nikifika job nawasha PC na kuangalia blog yako kwanza ndio naendelea na kazi Big Up mkongwe ukubwa dawa kazi yako inakubalika sana na watanzania wote sehemu mbalimbali ulimwenguni
    SALUTE mtu mzima
    By Funzadume

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2007

    Michuzi naona uko na pamba yako ile ile ya TMK

    http://photos1.blogger.com/blogger/3812/1569/1600/tmk4.jpg

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2007

    hv michu kuuliza si ujinga . hv kale kabinti kakkipare ulikaoaga au ilikuwaje. kama hujakao fanya umuowe kwani kukaa nae miaka yote hiyo bila ndoa haifai. samahani kwa kumwaga mchele kwenye kuku wengi. NOPE

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2007

    michu nimekushtukia hapo picha ya kwanza juu ulikuwa uanmwangalia camera man wako yuko wapi na kujisemea moyoni bwana fanya fasta piga picha piga haraka. halafu mmependeza.NOPE

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2007

    michuzi tunapenda kujua status yako-umeoa?hujaoa/pengine umeolewa manake siku hizi bongo....alafuu hao ma anon waliopo nje esp MAREKANI wenye akili fyatu sijui ulimbukeni wanaoona tu wanawake na kuanza kuwapania eti wakirudi bongo watawakandamiza washindweee kwa taarifa yenu hatuzimikii watoka abroad manake tumewashtukia ni washambaaaaaa kazzi kusafisha tu vyooo!!!!tunababaika na wa humu humu watafuta pesa kihalali!!! na mtu ajaribu kunibeep aone...nakusanya tu hizo missed call siku nikiwapigia hee kitaumana!(michu najua umenielewa )

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2007

    we hizo pamba utafkri mwanajeshi wa maji au sijui daktari kwani hukuwa na designer?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2007

    We Michuzi we! Hiyo picha ya kwanza hapo mbona umemshika mkono huyo dada, una agenda gani? wenzako wanashikaka hiyo Award kwa pamoja, we unashika mkono wake! Vandumweh!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 31, 2007

    Sir Issa "..PICHA TABASAMU HII.." MI NIMEKUELEWA KAKA "..HUTAKI VUMBI WEWE.."..NAAM.. HIYO LEBO HAPO KWENYE SHATI NI KIVUUTIO VILEVILE.."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...