
mdau honeymoon aishiye ughaibuni sio tu ni mhariri wa jarida poa bali pia mtunzi mzuri sana wa mashairi kama utavyoona ukibofya hapa
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi una stock ya kutosha, umeendeleza libeneke la blogu kwa kwenda mbele. Mlete tena dada AKANASHE JOAN Ninamuomba anitafsrie hili zingaombwe, bofya HAPA
ReplyDeleteThis girl is beautiful. Michuzi una picha zake zaidi?
ReplyDeleteYaani hapo hata humuhitaji Akanashe, kuna maji kwenye zile glass jamaa anajazia tu.Angerudia tena kama alivyofanya mwanzo kwa glass moja moja kuanzia ile kubwa...ningemuheshimu.Lakini simpo tu ndugu yangu.
ReplyDeletePoa, iko fresh.
Hongera kwa huyu dada Honeymoon,mimi jina lako tu!
Ninachodhania mie, hakuna maji sababu rangi ya maziwa imebaki vile vile, ila glass zinazoonekana kubwa zina mihimili ya glass katikati, yaani badala ya glass yenye shape ya U, hizi ni W. Pili, ameweza kujaza glass zote kwa maziwa toka glass ya mwisho kwa sababu pale camera haituonyeshi mdomo wa glass, hivyo, maziwa mengine yameongezwa na mtu ambaye haonekani kwenye picha. Naomba kubishiwaaaaaaa.
ReplyDeleteKwa kumbukumbu tu Honeymoon Mohamed aliwahi kuwa mwandishi wa Gazeti la Mtanzania.
ReplyDelete