kuna mdau kaniamuru nibandike hii kwa kuapa kwamba nisipofanya hivyo atakoma kuwa mdau. kwa vile nawapenda na kuwaheshimu wadau wote nimeona niepushe shari....kwa shingo upande

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2007

    HAYO NDIO MAMBO YA 'SUPER PIPPO'.
    MMEZOEA SANA KUBAHATISHA MWAKA HUU MMEPATIKANA. MILAN NI CHAMA KUBWA NA KUMBUKA KUWA NG'OMBE HAZEEKI MAINI.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2007

    Hahaha!! Kaka Misupu Acha Uongo Ulijua Madongo Yatakuandama Ndo Maana Ukajivisha Hio Mapema...Tulikuambia Kaka MARUDIO YALIUA MWIZI hahaha NOW U WALK ALONE...,,Mzozo_Milan

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 24, 2007

    Weeeeeeeeeeeeh !! MISUPU ilo jina la INZAGHI limekujaje hapo kwenye jezi ya Liverpool ???? Au ndio mishauo yenyewe baada ya huyo jamaa (Inzaghi) kuwanyima USINGIZI jana na siku zijazo kwa kulikosa hilo KOMBE ambalo hata hivyo mlikuwa hamko ktk nafasi ya kulichukua !!! ACHA HIZO UNAJUA UNAWEZA KUSHTAKIWA KWA KUWEKA jina la MUUAJI wenu kwenye jezi ya Bwawa la MAINI ????? Acha kujikomba kwa AC MILAN & Inzaghi !!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2007

    michuzi hiyo scarf ni kwa ajili ya baridi,usianiambie bingo sasa kuna baridi kali kiasi kwamba unatakiwa kuwa na scarf.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2007

    michuzi usiniambie sasa bongo ni baridi kiasi kwamba lazima watu wawe na scarf kama wewe ulivyotinga hiyo scarf yako!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2007

    Mumekwenda Athens kucheza fainali na AC Milan, kufika kule munachoma jezi za Manutd barabarani, wapi na wapi? Kwanza huyu shabiki aliyekumbuka kwenda na jezi ya MASHETANI WEKUNDU Athens yuko sawa kichwani kweli? Matokeo yamekuwa safi sababu tutalala usingizi, ingawa refa aliwahi kupuliza filimbi, tunawasubiri kwenye Premier tuwafunze adabu -
    OC - Sinza.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 24, 2007

    Pole sana bwana Michuzi, kweli naona hiyo umeiweka kwa shingo upande.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 24, 2007

    Michuzi umedhihirsha kuwa na wewe ni ZERO brain,
    umetegwa kidogo Umejaa Kingi...

    Sasa naamini kuwa wewe ndio unahusika na uchapichaji wa ile T-Shirt ya Kampeni ya Kipumbavu ya Amina Chifupa. kwa jinsi ulivyo edit hiyo picha yako na kuongeza jina la Inzagi ktk hiyo Tshrit ni ushahidi tosha

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 24, 2007

    Blaza, No New Posts today???? Kulikoni lakini yakhe, ushatuzoesha vibaya wadau wako! au ndo kusema umeusahau ule msemo, 2Asokubali kushindwa sio mshindani!",..inaonekana sheikh ulishasonga ugali kwa vumba la samaki wa jirani! Pole sana Michuzi!... machungu kwa mgao mwaka huu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 25, 2007

    WE ARE CHAMPIONS, WE WIN HEARTS AND CUPS. OFFICIAL MOST SUPPORTED CLUB, LFC. YNWA !!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 25, 2007

    LFC,MOST SUCCESSFUL CLUB IN ENGLAND.It took MUntd 31 years to show up in UCL Final, 1968 then 1999. I BET will take another 100 yrs for them. Chel$ki and arsenal sucks, Nottingham Forest got 2 CL cups 1979 & 1980 ; they are comparison to MU atleast.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 25, 2007

    Sir alex has assured fans, he will use all his resources he got to beat Nittingham Forest record in Europe. ah ha ha ha !
    YNWA !

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 25, 2007

    michuzi hiyo scafu mbona kama vile inalebo hapo pembeni. yaana na wadhifa wako wooote unaazima nguo dukani upigie picha.?? kama wacheza shoo wanavyofanya!!! sikutegemea hili kwako. mzee!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 25, 2007

    sasa ndugu yangu Issa huko manzese uwanja wa ofisi unakoishi baada ya gemu ulipata usingizi kweli,maana nasikia vijana wengi wa ubaazi huo ni man u kufa!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 25, 2007

    hivi iyo kofia na scaf haikukupa joto sana naona mpaka uso waka unangara kwa jasho,

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 25, 2007

    Huyu Mbwegelegelegewelegeklele nadhani anaota au yuko tingas, Livershite most supported club give me a break,you will be hard pressed to find any scouse fan outside the scum that you call your dwellings,Liverpool. For your info United were the first ever English side to clinch the European cup.Granted mna vikombe vingi ila the bottom line is you are simply shite.When was the last time you tasted League glory?mzee Ruksa was still in his first term as prez.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 26, 2007

    mbwegelembwegele hayuko tingas, anakupa fact tu kuwa hata hiyo league glory liverpool wamechukua maranyingi kuliko timu yoyote Englana. Najua MUtd wamechukua vikombe vya FA mra nyingi kuliko timu zingine. Usiongelee league glory wala Europe , hakuna timu ktk uingereza inaweza kufikia inarekodi kama ya LIVERPOOL. You wanna know why? We are back to add some more tittles.
    YWNA !!!!!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 26, 2007

    Liverpool Football Club are an English professional football club based in Liverpool. They play in the Premier League and are the most successful club in English football.[1]They lead the way in terms of English League Titles, with eighteen, and are third in terms of European Cup[2] wins, with five, an English record. They have also had success in the other cup competitons (see honours, below). Liverpool are a founding member of the G-14 group of leading European football clubs.[3]

    Liverpool were founded in 1892, playing at Anfield, where they remain to this day.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 26, 2007

    Manchester United Football Club is an English football club, based at the Old Trafford stadium in Trafford, Greater Manchester, and one of the most popular sports clubs in the world, with over 50 million supporters worldwide.[1][2] Manchester United is one of the most successful clubs in English football, second only to Liverpool F.C. in terms of trophies won by an English club. They have won the Premier League/Football League 16 times (most recently in the 2006-07 season), the FA Cup a record 11 times, the League Cup twice, the European Cup / UEFA Champions League twice, the UEFA Cup Winners Cup once, the Intercontinental Cup once, and the European Super Cup once.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...