rais wa yanga francis mponjoli kifukwe (kulia) akiwa na kocha mserbia micho na mzee yusuf mzimba wakimwaga wino wa mkataba wa kazi wa kocha huyo. kifukwe ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo kwenye uchaguzi mkuu utaofanyika mei 26 mwaka huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...