leo dar ni mvua kutwa nzima. na kwa wadau mlio bongo na hata ughaibuni si vibaya mkisoma ujumbe huo hapo chini tuliotumiwa punde tu...
Najua wengi mnamaliza shule sasa na mnafikiria kurejea bongo. Kabla hujafunga virago vyako kuja nyumbani pitia hii site www. kazitanzania.com you never know...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2007

    Hallo Michuzi,
    Napenda kuwasiliana nawe kupitia email. lakini box yako iliyoandikwa nitumie email sio active. Naomba reke´bisha ili niweze kuwasiliana nawe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2007

    Hao Jamaa watengeneze website yao vizuri. It is a cramp. It is unable to recognize any cookies kwa hiyo search ni urembo tu. Why not get serious and come up with a website worthy of your BIG name?? BONGO mi inaniudhi kwa sub standards mchwwwwwiiiiiiiii

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2007

    HAPO BWANA NJE YA POSTA KUU AU NIMEKOSEA JAMANIIIII. VIFURUSHI VYOTE HUZAMIA HAPO. WANA MIKONO MIKALI HAO. HATARIIIIIIIIIII EEH!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...