wanja letu la neshno stedium ambalo kwa bahati mbaya senego watakosa kulionja kwani mchezo umehamishiwa ccm kirumba mwanza maana neshno itakuwa bado kufunguliwa rasmi. haijulikani kwa nini lakini redio mbao zinasema serikali inataka kwanza timu ya menejimenti iwe imekamilika kwa idadi ya wafanyakazi na mafunzo maalumu ya kuutunza kabla ya ufunguzi. pia kuna tetesi huenda ikatangazwa tenda ya kupata menejimenti binafsi ya aidha wazawa ama wadau toka nje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2007

    kikwete mwisho, daaaa, bonge la uwanja kama wembely.
    walai huu stadio de JK.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2007

    Mtoa maoni hapo juu hajui kitu. Uwanja huu si matunda ya JK hizi ni juhudi za BM lazima sifa ziende kwa mwenyewe.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2007

    Wewe Michuzi, nyie wanahabari mnapaswa kuielimisha na kuihabarisha jamii kwa kuwa mko katika nafasi nzuri ya kupata habari mbalimbali.
    Nimekuuliza siku nyingi kwamba ule Mnara uliuokuwa unajengwa mahali ilipoanguka ndege ya kivita mwaka 1979 ambao ulikuwa eneo hilo ulilojengwa uwanja huu mpya bado upo huo mnara au umebomolewa?
    Naomba unifanyie utafiti unipe jibu la hilo swali langu. Naliuliza kwa nia njema tu ya kuwa informed kama Mtanzania, sina nia nyingine.
    Tafadhali sana nifanyie utafiti. Tunakuamini. Usijiangushe.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2007

    Jamani, mnaliona hilo Mzizima Stadium?

    Ninaomba sana menejimenti ya kwanza itoke nje, na kuwe kuna gradual transfer, say 5 years minimum, kwa wazawa. Kwa sasa hivi hatuliwezi kabisa jamani - tusilogwe tukajidanganya.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2007

    Uwanja Saafi sana. Mimi napendekeza kiingilio kisizidi Dola 5 ili uwanja uwe na manufaa kwa kuingiza watu wengi. Mimi nina hamu ya kuingia na familia yangu. Kiingilio kikiwa juu sana, tutawaachia wenyewe. By the way, tusiutumie kwa vimechi vidogo vya ligi. International games na watani wa jadi tu kwa kuwa tunajua gharama za kuuendesha nazo ni kubwa. Big up BM na JK kwa kuanzisha na kuendeleza hicho chombo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2007

    Wembley kuna viti zaidi ya 10,000 vilibadilika rangi kutoka red na kuwa pink (kwa wazungu pink ina maana mbaya)je huko kwetu viti havijabadilika rangi sababu ya jua???

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2007

    BABAKE...HAKUNA KURUKA UKUTA, HAKUNA KOMANDOO NA HAKUNA KUKANYAGANA WALA MTU WA MBELE KUMZIBA MWENZIE. BABAKE WANJA HILO MLIO UGHAIBUNI MTAISHIA KUANGALIA MAN.U, CHELSEA, ARSENAL KWENYE TV. SI TUTAANGALIA SIMBA NA YANGA YETU CHOVU LIVE NDANI YA WANJA JIPYA..BABAKE.....kombandoo wa mlangoni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...