Home
Unlabelled
kitogo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huo ni mwanya,pengo au uchochoro?
ReplyDeleteniko njia panda
huo ni mwanya kwa taarifa yako, hapo jino zima linaweza kukaa!
ReplyDeleteHivi mama mdogo Shani kila hafla wewe ndio unaghani jamani mbona kaaazi kweelikweli.
Sijui this time umeghani nini maana kila wakati unaghani Titi la Mama ni Tamu! haya mie nakufagilia tu maana hayo ndo masuala yako.
Jamani mama mdogo Shani si kughani tu mashairi ngonjera ila yuko juu kwenye masuala ya KIcheni Pati, haswa kwa wapenzi wa staili za Pwani, ukimuita huyo hutajuta!
Bi Shani Kitogo uko juu sana, mambo ya kughani ngonjera! Michuzi tufikishie hongera zetu kwa Anti Shani mwambie tunamfagilia wawawaaa.
ReplyDeleteHuyo Anon aliyeuliza kuwa huo ni mwanya, au kitu gani. Huo ni mwanya Mungu kagawa wa nguvu hapo, huyu dada amebarikiwa si mwanya tu ila hata mewata Mungu kamptia vya kutosha. Si hayo tu bali pia ni mwanataaluma wa nguvu, mara nyingi tunafaidi vipindi vya Jumamosi redio One Steriooo akieleza habari za ushairi. ni mtaalamu wa Mambo ya visiwa vya GingĂngi, nafikiri pamoja na kazi ila anafanya sasa digrii yake ya uzamivu, waungu mwaita PhD. Keep it up mama!
Hi Michuzi na wasomaji,
ReplyDeleteHuyu Shani kweli mtaalamu wa Kiswahili. Anony hapo juu umesema anasoma shahada ya uzamivu. Utakuwa ulimaanisha "uzamili". Uzamili ni shahada ya pili au 'master's degree'.
Lakini Shani hasomi shada ya uzamili. Maana nahisi alishamaliza muda mrefu sana. Sasa labda anasoma Ph.D kama ulivyosema, ambayo kwa Kikristu inaitwa Philosophy Doctor(Ph.D). Kwa Kiswahili ni shahada ya udaktari.
Watu huita kwa utani pia kama 'Poor hair distribution (Ph.D.
Tumtakie kazi njema Shani.
Anon hapo juu, shahada ya pili inaitwa shahada ya uzamili ninyi wasomi mwaita master's na hicho mnachoita PhD basi Kiswahi fasaha cha Institute of Kiswahili research au Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili TUKI, na wazee wetu wa baraza la Kiswahili, BAKITA tunaita shahada ya UZAMIVU, na hiyo ndio Bi Shani anayosoma, uzamili kapeta zamaniiiiii mwenzio anasonga mbele tu.Nakutakia majaalio ya mwenyezi Mungu Bi Shani kwa kisomo chako.
ReplyDeleteNyie wabongo mafala sana huyu binti mwenye mwanya au ndio mnamuita mama mdogo shani au sijue nani ndil ana uzamivu hihihi ngoja nicheke kidogo mtu ana Doctor au master halafu ndio kazi yake kubwa kupiga domo kwenye kicheni Pati.. duuuu ina maana bongo wasomi wapo wengi mpaka watu wenye master ndio wanapinga mdomo , weeee wacha nibaki huku ukerewe kubebeba boki kwa sababu nikibeba boki kwa week tu ndio mahela yaooo , hhihihihihii
ReplyDelete