wananchi wakifaidi upepo mwanana wa pwani ya bichi ya koko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2007

    Yaani kwa jinsi ninavyosota huku kwa kukosa mbunye nikirudi lazma nipite maeneo hayo nikawapige bare hao wananchi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2007

    Ejama eh, hii bichi haiitwi "Coco bichi" - Coco ni kale ka-uwezekaji pale "Oyster Bay bichi" (Ostabei bichi)

    The place is called Oyster Bay Beach and not Coco Beach!!! And don't give that crap that its because of the that little hotel establishment people call it that "hated" name - it hurts me (and some of us) who grew up in Oyster Bay and Masaki

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2007

    Anon wa Friday, May 25, 2007 3:40:00 PM, mi nakushauri unywe sumu kama unaumia kwa sababu jina la "Oysterbay Beach" lilishaoza kaburini.

    Ila ukisema "Coco Beach" hata mtu wa Arusha atakuelewa unaongea nini.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2007

    I think he/she needs a therapisty.

    My sister has five names and she doesn't mind at all and she enjoys all of her names. So who are you to be that mad because people call it Coco beach instead of Oyster Bay?

    Do you know the meaning of Oyster bay? Therre are no more oysters as it used to be in old those damn good days so why keep calling oyster bay while there is hardly one due to pollution?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2007

    We anon mshamba nini, mimi mbona nimekulia masaki na wala hainisumbui kuita coco beach, tena wala sijawahi kumsikia mtu akilalamika, wewe lazima utakuwa na tatizo kwenye ubongo wako.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2007

    coco bichi...we pache tu!
    Nnapamiss!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2007

    Wewe unaeng'ang'ania Oyster bay hebu ona maana halafu jiulize kipi bado kina exist between 'Coco' and 'oyster'.

    OYSTER: an ''edible shellfish'' with a rough irregularly shaped shell that lives mainly on the sea bed in coastal waters. Oysters are generally eaten raw and considered a delicacy.

    Genera:OstreaCrassostrea. ( Biology)

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2007

    Michu wananchi sio wale ndugu wa mawindo ya wazungu kweli, maana kuna mmoja aliisha wahi kufa maeneo hayo kwa kuvua Samaki wawili waliokuwa na njaa wakamzidi nguvu. Maana kama 'wanatega vileee'

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2007

    MADEMU WA KIBONGO UNADHANI BASI WATAINGIA KWENYE MAJI BASI.NI KUJIBABUA HAPO JUANI.YALE MANYWELE YA KUONGEZEA JUU SIYATABAKIA KWENYE MAJI YOTE.DEMU WA KUPELEKA BEACH NI MTOTO WA MATATABWANA.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 26, 2007

    He he he heeee, jina kamili ni Oysterbay beach, utake usitake, lakini wengi wape ku kupaita hapo Coco Beach. Kama mzaliwa na mkazi wa DSM nimegundua pameanza kuitwa Coco beach baada ya kale kahoteli anony wa kwanza alikokataja, na nadhani ni kweli walioanza kupaita hivyo ni watu ambao sio wa maeneo ya Ostabei na Masaki, bali ni wale wa kutoka nje - wenyeji wa Osatbei na Masaki milele walipaita hapo ostabei bichi(na bichi zingine kama Ndege, Msasani, Kawe n.k)

    Kanichekesha anony wa Friday, May 25, 2007 7:24:00 PM - kwa vile hakuna tena oysters basi pasiitwe hivyo!! Du, basi hata Kariakoo pasiitwe hivyo manake hakuna tena "Career Corps" maeneo yale, Nyerere Road isiitwe hivyo manake ameshafariki (RIP. Respect!!), uwanja wa Karume (RIP) usiitwe hivyo kwani naye amefariki etc etc Mmmhhhhh.......???!!

    Naye anony wa Friday, May 25, 2007 7:48:00 PM - kukulia Masaki sio tiba na inawezekana umehamia Masaki manake baba zenu wakihamishwa kazi toka mikoani basi kwa vile wamesikia Ostabei na Masaki ndio sehemu poa basi nao wanataka kuishi huko!! Matokeo yake unakuta washamba kibao huko!! Huko Masaki watu wanaishi tangia enzi kunaitwa "Kichangachui" na watu walikuwa wanawinda vinyama vidogo vidogo na kasuku na ndege ndege wengine!! Wewe labda umehamia ukubwani lakini ni poa tu kudhania anony wa kwanza ana tatizo kwenye ubongo wake.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 27, 2007

    Wasichana wakibongo sio kuwa wanaogopa kuogelea wataharibu nywele. Wengi siku hizi ni Flavia Matata tu. Ila wanapenda maisha beach haina life guard nani anataka kufa? Hapo ni kuswim at your own risk.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 29, 2007

    Hahaha Anon wa Tarehe Saturday, May 26, 2007 11:04:00 AM, Umenifurahisha sana kwa Ufafanuzi. kweli. Imesimama mtu wangu
    DX

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 29, 2007

    wewe anoy sasa unafananisha masamaki na viongozi wa maana waliofariki. Masamaki yameisha change the name. Huoni wakikata mbuyu jina linafifia taratibu. Sehemu nyingi nilikua najua zina itwa mbuyuni , mkuyuni, njia panda lakini sasa hivi polepole zinapotea na kubadilia majina. tatizo wabongo tunaogopa changes

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...