jide akiwa na wadau wakati wa ziara yake ughaibuni
Lady Jaydee & Machozi band live gig - every friday
Lady JayDee is so far the most decorated musician in Tanzania, winning an award almost every year from 2001 when she burst into the music scene with her jit 'Machozi'. Complete with her own band the songbird presents to you Lady Jaydee & Machozi Band Live Gig, Every Friday at Ruaha Bar & Restaurant at Kinondoni next to JJ Blue from 2000hrs - Midnite.
This is where beautiful people, friends, celebrities and music fans will connect to start off their weekend.
The Gig will give an outstanding showcase from Lady Jaydee giving you a cocktail of hit songs from all over the world, including songs from all time international greats the likes of Whitney Houston, Tina Turner, Bob Marley, Sade, Aretha Franklin, Marvin Gay...you name them - plus exclusive appearances from local chart toppers.
Come join Bongo's most talented local musician and enjoy your evening...
for more information call +255 784 884 007 or visit www.ladyjaydee.com
Hayo mapaja yamenitia majaribuni! Dada zetu ficheni mapaja yenu, kwani mwatuumiza. ASANTE
ReplyDeleteLady JayDee is wearing a very nice costume. The colours are very patriotic.
ReplyDeleteJamani huyu wa kulia katulia hawa ni wa uk au? nisaidieni jamani?
ReplyDeleteLady JD I realy like ur style,I have all ur albums go girl!!!!!!!!!!!!! tafaaaaaaaaaaaaadhali usije ukaanza kupaka mkorogo stay the way u r
ReplyDeletehuyu kushoto si tina??miss mambo fulani alikuwa mg sijui dar? anakaa uk michuzi napeda jua hili tafadhali amebadilika sana kaa ni yeye kala mkorogo huyuu alikuwa na weusi mzurii sana
ReplyDeletehawa walikuwa kwenye halloween nini?
ReplyDeleteitz true lady jay dee ni wa kawaida-kimuenekano yani- na make up anazo pakaga huwa mbaya bt itz also true that she haz a very hotttttttttttttttttt voice n shez very suxesful kip it jide
ReplyDeleteutaacha kumponda Jide siku utakapijifungia naye room akakuonyesha vitu vyake. She is a super woman. Try to understand her way of life.Let us give her a break
ReplyDeleteuyo wa kushoto ni tina wa morogoro,amejipiga deki kisawasawa, lakini dada ati huyu anapenda picha sana,
ReplyDeleteYes huyo ni Tina wa Morogoro na wala hakuwa mweusi we anonymous unayejitia kujua sana. Ukikaa ulaya rangi inabadilika wala si mkorogo. Ni binit mmoja mzuri sana na anajihesimu sana. We anonymous unaesema anapenda picha kwani we hupendi???????? Basi unamatatizo maana kila mtu hupenda picha. Mbona kila kitu watu mwatoa kasoro whats wrong with u???? Mahaters tu nyie mtajiju.
ReplyDeleteKwani JD bado yuko na GADNER? Maana ma-Star bwana! Hawakaagi sana!
ReplyDeleteWe anony "Thursday, May 31, 2007 7:54:00 AM"
ReplyDeleteKama bado wapo wote au wameachana we inakuhusu nini? Mbona watu mnakuwa wapekupeku hivyo? Hauna mambo ya muhimu ya kufanya zaidi ya kutia pua yako ndefu katika issues za watu?
wewe anon wa 1:38 unaedai amekaa ulaya ndio amebadilika rangi mbona rangi ya shingo na kifua haijabadilika au aliviacha bongo? wewe ni tina mwenyewe nini mbona unatetea sana
ReplyDeletewee annony wa thursday may 31,2007 7:54 hivi hujatosheka tuu na pande alilokupa JIDE kwene SIKU HAZIGANDI jamani!! hee wa nini dada wa watu mnafwatafwata!!anasonga mbele mwezako hataki ujinga tena,bado yuko na gadner kwani voy ulikuwa unamtaka!! sio chifupa huyooo,jide ana shule kichwani
ReplyDelete