iko haja bongo tukawa maegesho kama haya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2007

    Hili dili. Lakini kikubwa yakitoka hapa yote yatapita barabara zipi? mhh na umeme wenyewe huu wa mgao usiokwisha, hebu fikiria patakuwa hapatoshi...mhh na wanyofoa saidi mira hapa patakuwa mbingu ndogo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2007

    UMEME UKIKATIKA?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2007

    Tanzania sio Dare Es Salaam tu!!!!!!kwanza wajenge mashule ya maana vijijini,watu wote wapate maji safi ya bomba,umeme uende Tz yote,yajengwe highways kote nchini,nyumba zote bongo ziwe za matofali na kila mwananchi awe na pato la more than 1000 dollars per day THEN ndo waanze kufikiria maparking kama haya, kwani yakijengwa leo au kesho hayana faida yoyote kwa mwananchi wa kawaida.period.
    Chamtoto

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2007

    Sisi Wanyaji tungepata taabu sana kupark magari yetu huko juu.

    kidhungu-dhungu!!!!.....

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2007

    Hiyo machine...mhhh!!!??? Umeme ukikatika gari linabaki linanig'inia kwa siku nzima na walio park magari yao juu basi siku hiyo lazima wa pande vibasi au kukodi tax kwenda makwao.

    Na wao hawajazoea kusubiri njiani kupanda vibasi vyetu si watapata pressure watuditto tu kila siku.

    parking ya namna hii itatuengezea shida tu. Bado sana na uchumi wetu huu tunamambo ya muhimu ya kufanya kabla ya haya. Nitashangaa hata city ikimkubalia mtu ajenge parking kama hii kwa sasa

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2007

    Go watch The Fast n the Furious: Tokyo Drift in the 1st 20 Minutes nuone car park za wenzetu zilivyo tamu...Gari Kwa lift

    ReplyDelete
  7. umeme ukikatika magari si yatawasha taa. Na kama una hela ya kujenga maegesho ya ivo basi utakuwa na hela ya kuendeshea jenereta na sola pawa pia.

    Sie wabongo kutaka kukimbia bila kujifunz akutembea kwanza hatujambo. Hapo mumeambiwa kabisa hiyo ni thim paki ya VW sasa nyie hata kiwanda cha magari ya nyumba kiliwashinda sasa mnataka muwe na thim paki sijui ya nini.

    Kama ni gorofa ya magari si tunayo ile ya sijui extelecom pale? ile ndio saizi yetu, kama haitoshi siku izi ijengwe nyengina kama iyo

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2007

    AAH HIYO TANZANIA INAWEZEKANA TU.KAMA KITUO CHA BASI KILIJENGWA UBUNGO AKAPEWA MTOTO WA KINGUNGE KUKUSANYA MAPATO.INAWEZA KUJENGWA HIYO AKAPEWA MTOO WA KIKWETE KUSIMAMIA MAPATO TU..HELA YA WANANCHI.MLIOONA MRADI WA SPEED GOVERNOR ULIKUWA WA NANI.WATU TULIKUWA TUNAEMBEA KWA MGUU BAADA YA MTU KUMALIZA MRADI WAKE HAMNA MTU ANAULIZIA TENA.SIJUI UWANJA WA TAIFA MPYA UTAKUWA MRADI WA NANI SASA!!?WAKUMBUKE KUFUFUA VIWANDA KAMA URAFIKI WATU WACHINI WAPATE KAZI PIA HATA UKIWA MRADI WA MTU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...