ukija bongo usiwe na wakati mgumu wa kutafuta gari la kukodi liwe aidha la matembezi ama sherehe. wasiliana na http://www.kayscar-rental.com/limos.html na mambo yatakuwa mswano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2007

    GARI LA KUBEBA WAFIWA WANAPOENDA KWENYE MAZISHI. MICHUZI ACHA KUBANIA MAONIYA WATU. KAMA UNATOA PICHA BILA MAELEZO SAHIHI, LAZIMA TUWAELEZE NDUGU ZETU WASIJE WAKAKODI HILO BENZI NA KWENDA NALO KWENYE HARUSI. ITAKUA MKOSI MTUPU NA HATA WANA HARUSI WANAWEZA KUPATA AJALIA NA KUFA...SHAURI YAKO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...