Home
Unlabelled
mama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
eti kaka michuzi huyu mtu ana asili ya wapi???
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNafikiri ni BUKOBA
Duh! The guy is seriosly tall! Wud love 2 stand nxt 2 him & see how short I am! Damnnn, I always thought I was tall! But the guy truly represents TZA!
ReplyDeleteana asili ya sinza.
ReplyDelete-Michuzi
just tell me he did not reach the silling with his head!!!
ReplyDeleteHuyu ni mtusi, ndio asili yake.
ReplyDeleteWatusi mahandsome!
ReplyDeleteasili yake ni Eskimo
ReplyDeletehaya ngongote tumekuona..... kaazi kweli kweli
ReplyDeletemm lakini sio urefu wa maradhi huu jamani kama wa wasomali wengi wao?
ReplyDeleteMbona asili yao sio warefu inavyoonekana mh!
I hope hapo amefikia mwisho na hakui tena. Niliona the giant in China walibidi wamtoe tumor kwenye ubongo ili asikue zaidi. Homones zake za kumwambia sasa ni enough to grow up zilikua hazi sense alirefuka sana.
ReplyDeleteKwani yeye ni mrefu kiasi gani Yao Ming ni 7'6" .
Duh!!! Ni mrefu ingia hapa wameshamueka kwenye one of the tallest people in the world. Yuko kwenye new with red
ReplyDeletehttp://members.shaw.ca/harbord/heights.html
Du kweli huyu mama yake yaani kafanana nae copy right, kasoro urefu tu
ReplyDeleteSir Issa.. HABARI ZA LEO MAALIM...TUNASHUKURU SAANA KWA HABARI NJEMA NA JITIHADA ZA HUYU MHESHIMIWA, VILEVILE HONGERA SANA MAMA MZAZI (MATUNDA TUNAYAONA).."Sir ISSA RUKSA KUTUONYESHA PICHA ZA BABA MZAZI"...."..MGAAGAA NA UPWA HALI WALI MKAVU.."
ReplyDeletedogo atumie muda huu ambapo shule zimefungwa KUJIFUA. summer time ndiyo wakati wa kuimprove his game. shule zikifunguliwa na mashindano yakianza ni muda wa kuonyesha nini alifanya ofseason.
ReplyDelete