mdau chikago matelefoni, mfanyabishara maarufu wa magari na simu za mkononi hapa bongo, yuko japan kutafuta stoki mpya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2007

    Michuzi hapa unatangaza biashara za watu bila wewe kujua,au mzee unapata kamisheni?? Anyway kila shetani na mbuyu wake. Lakini lazima ulipwe mzee blogu yako inawaletea wateja kibao hawa watu wako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...