Home
Unlabelled
memba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HUO MKUTANO WA CUF?MAANA HIVYO VIJIKOFA-BARKASHEE ZIPO KIBAO.AU SHEIKH.....ANAHUTUBIA???
ReplyDeleteMi nadhani huu ni mkutano wa TANU wakati wa kudai uhuru na punde baada ya uhuru mana ilikuwa ni vijikofia-barkashee hivyo hivyo hadi mkoloni akakimbia.
ReplyDeleteHii ilikuwa punde kabla ya "wenye nchi" hawaichukua nchi yao na "kuwasogeza pembeni" hao na vijikofia-vibarkesee"!
Duh yaelekea hawana kazi ya kufanya nini??? Ni siku ya kazi halafu VIBAGHARASHIA KIBAO loh WAISLAM BWANA halafu oooh Mwalimu ana upendeleo ohoo Mkapa... Matokeo yake ndo hayaaa... Loh
ReplyDeleteEbwana nilisikia Diamond imekuwa kwenye marekebisho, naona mabadiliko kidogo, kama kuta zimepigwa rangi hivi. Michuzi ningeomba kama itawezekana utuonyeshe, ukipata nafasi, baadhi ya mabadiliko hayo, ningependelea ukumbi ukiwa mtupu.
ReplyDeleteUKISIKIA SIMBA NA YANGA UJUE NI WAISLAMU TU;WAO NDIO WALIOUNDA HIZO TIMU.NA WAO NDIO WANAWAPA WATU BURUDANI HATA KTK MUZIKI.PIA TUSISAHAU KUWA WAO NDIO WALIOUNDA T.A.N.U KABLA " JAMAA " "HAJAWAPORA" BAADA YA UHURU.
ReplyDeletePIA WAO (WATU WA PWANI) NDIO WA KWANZA KUANZA KUVAA NGUO KTK HISTORIA YA TANGANYIKA.WATU WENGINE WAMEVAA NGUO WAKATI WA UKOLONI TU JUZI,TENA KWA VIBOKO NA MIJELEDI.
MI NADHANI TUWAACHE TU NA MAISHA YAO.
Hivi Tz kuna social security. Kila kona ukipita unakuta watu wa pwani wanacheza bao. Inamaana wao hela za kulisha familia wanatoa wapi. Kuna trust fund mahali popote wanayopata?
ReplyDeleteKwa vile kweli kama ilikua siku ya kazi na wote wako huku hizo office nani kaachiwa?