habari za michango kwa ajili ya kuusafirisha mwili wa hayati john ni kama ifuatavyo kwenye ujumbe huu uloingia sasa hivi
Wananchi,

I am very happy to announce that as of today, the community of Tanzanians living in Houston has been able to raise $18,580.

Most of this money ($16,780) was obtained at the fundraiser held on Sunday evening in Houston. The rest is money donated at Clara’s house.

At this time we have not seen any money from bank deposits. If any bank deposits were made in the past few days, we expect to see them on Tuesday or Wednesday as wire transfers take at least 2 to 3 working days to take effect.

All money left after paying for the estimated expenses will be given to John’s family.

If you still wish to give money please deposit it at the bank or take it to Clara’s house.

We expect to pay our last respects and ship John to Tanzania next Saturday. More details on this will follow.


Bank Details

Bank Name: Washington Mutual
Account Holder Name: Clara Moshi
Address: 9296 Westheimer Rd, Houston, TX, 77063
Routing#: 111993776
Account#: 3132242144


Clara’s address:
9449 Briar Forest Dr, #5203, Houston, TX , 77063
Tel: 832 715 8740

If you have any questions please feel free to contact the organizing committee members below.

Clara Moshi – 832 715 8740 –
rclarah@yahoo.com
Karim Faraji – 713 702 9050 –
abdufaraji@hotmail.com
George Mollel – 832 721 3003 –
gmollel@hotmail.com
Jamila Lohy – 713 858 9623 –
jazum26@yahoo.com
Rachel Mboya – 832 641 6096 –
mboyarachel@yahoo.com
Nicholas Tarimo – 281 450 4189 –
nntarimo@gmail.com
Issa Kikeke – 713 417 4384 –
isakikeke@yahoo.com

We will send any updated information as it is received.

Thank You,

Karim

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2007

    Great job Houston.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2007

    This is waste.Kwa nini huyu mtu asizikwe hapa marekani?Mtu amaekufa amekufa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2007

    Anon..Hapo juu kama kwako ni waste basi si kwetu sisi tuliotoa mchango..Subiri ukifa wewe uache will ya kuzikwa hapo marekani..Tuache sisi Htown na utaratibu wetu..

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2007

    are u crazy? hivi wewe mshenzi hapo juu umewahi kufiwa au unaongea tu kama huna akili. kama huna cha kuongea funga domo lako.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2007

    Watu ni wengi mno wa kuwa contact!I hope this is not a publicity.Sioni ulazima wa kuwa na msururu wa watu wote hao.watatu,wanne wanatosha.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2007

    wewe mpumbavu unayesema this is waste, unajua gharama za kuzika mtu marekani? jaribu kufuatilia uone, especial kwako ambaye hata ambaye hujui hata life insuarance ni kitu gani!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2007

    Mimi nina ushauri wa bure, kumbukeni huyu siyo mtanzania wa kwanza kufia huko na hatokuwa wa mwisho. Hicho kiasi kitakachokuwa kimebakia baada ya gharama zote za kusafirisha maiti na m/wasindikizaji badala ya kuwapa ndugu wa marehemu ni vyema mkafungua akaunti maalum na kuzihifadhi mumo. Tena mngeanzisha umoja ambapo muwe na mfuko maaluma wa mazishi ambao mtawekeana kiwango cha kuchanga kila mwezi na makusanyo yake yataingia kwa hii akaunti pia. Nasema hivi kwa sababu sote hatujui, inaweza ikaongozana misiba miwili hata mitatu sijui kama kukusanya $35,000.00 au zaidi kwa wakati mmoja ili kuleta miili ya marehemu bongo itakuwa rahisi. Kama hamuaminiani basi hiyo akaunti iwe na signatories zaidi ya wawili, kwamba bila sahihi zao hakutoki kitu kwa akaunti. Poleni na majukumu

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2007

    kwa email ulizoweka hapo wabongo ninavyowajua basi watawadd hao watu ktk msn zao.hapo kuna kazi.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2007

    kwa kweli watu mnaomkoromea huyu jamaa hapo juu sio sahihi,hivi wabongo mnaisheje ualaya?Mimi naamini mmepata skills za kutosha mkija hapa nyumbani mnaweza kua bar attenders,receptionists kwenye mahoteli NK na mambo kama hayo lakini sasa kila siku mnasubiri mpaka mfe ndo mletwe nyumbani kwenye jeneza,jamani why this?zamani watu walikua wanenda kusoma nje kwa sababu chuo kikuu kimoja(UD)sashivi vyuo kibao njooni msome nyumbani achaneni na makabaila

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2007

    jamani huyo alosema ni "waste" msameheni,hajui asemalo, mi nadhani ni utoto tu kwa sababu ukifika umri wa juu kidogo iwe isiwe utakuwa umekwisha pata experience ya kufiwa. ila kinachinishangaza hapa nyumbani bongo hii story mbona siioni kwenye magazeti?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2007

    maskini john anarudi nyumbani sasa. inasikitisha sana. washukuriwe wote kwa wale waliojitolea kuchanga. umoja na upendo kama huu uendelee kudumishwa.
    kwa huyu aliyesema kuwa eti azikiwe alipofia je inakuja akilini kweli. au we ndiye uliyemuuwa nini!
    Mwz Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
    NOPE

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2007

    WEE ANONY WA MAY 22 10.16AM KUMBUKA KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI USHAURI WAKO NI MZURI LAKINI FAHAMU PIA KUJITOLEA KWA WATU WALIOTOA SI KWA KULAZIMISHWA HATA KIDOGO SABABU HATA WASINGETOA WASINGEFATWA KWENYE NYUMBA ZAO WAKALAZIMISHWA MICHANGO!! HATA KAMA WATU WAPO NJE YA NCHI LAKINI KILA MTU ANAMAISHA YAKE KAMA MTU YEYOTE ALIYEPO NYUMBANI TZ, NISIPOA HAIMAANISHI NIKIFA SITAZIKWA SASA UNAPOSEMA KWAMBA OHH KAMA HAMUAMINIANI SIGNATORIES WAWE 2 SIJUI KUTOA KILA MWEZI HAYO MAMBO YAPO KTK VIKUNDI VIDOGO VIDOGO KAMA MARAFIKI, MAKABILA, MIKOA AU NDUGU AMBAVYO NI SAWA KABISA NA TUFANYAVYO HAPA NYUMBANI.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2007

    kwanza kabisa ningependa kutoa pole zangu za dhati kwa wafiwa.....msiba wowote ule ni mgumu.....na Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.
    Pili napenda kuwapongeza wahusika wote walioko katika harakati za kufanya maandalizi ya kuusafirisha mwili wa marehemu.......kwani wanaoishi "United States" wanaelewa jinsi mambo haya yalivyo magumu........huwezi kuyafanya peke yako......
    Tatu napenda kuwaeleza hao ma"annons" hapo juu wanaosema mambo bila kuyajua undani wake.......labda hayajawafika.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 23, 2007

    dada unatia moyo, nakutakia kila la kheri!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...