Subject: Pageant Playoffs Top 20
From: contact@pageant-almanac.com
Date: Wed, May 16, 2007 12:26 am
To: contact@pageant-almanac.com

Hello brother issa,

The top 20 kura zimeanza pigwa, watu waanze piga, kama haiwezekani waambie waandike mail ya kuomba kupiga kura (contact hapo juu)kama mimi nilivyo fanya watakuwa wanakutumia kwenye email yako rights tovote, mrembo wetu kwa sasa ndio anaongoza katika top 20.
Hello Pageant Fans!

Pageant Almanac's Miss Universe 2007
Pageant Playoffs Top 20 has finallybeen chosen!

In alphabetical order:Angola - Micaela Reis
Brazil - Natália Guimarães
Curacao - Naemi Monte
Denmark - Zaklina Sojic
Dominican Republic - Massiel Taveras
Greece - Doukissa NomikouIndia - Puja GuptaItaly - Valentina Massi
Japan - Riyo Mori
Korea - Honey Lee
Mexico - Rosa Maria Ojeda Cuen
Norway - Kirby Ann Basken
Peru - Jimena Elias
Philippines - Anna Theresa Licaros
Russia - Tatiana Kotova
South Africa - Megan Coleman
Spain - Natalia Zabala Arroyo
Tanzania - Flaviana Matata
USA - Rachel Smith
Venezuela - Ly Jonaitis

Stay tuned for an email that will give you the chance to vote in Round 3 of the Pageant Playoffs. Round 3 will cut the Top 20 to the Top 15.
- Pageant Almanac

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2007

    Ni wapi wanaonyesha matokeo? mimi nimevote lakini sioni hata matokeo yanakuaje. Naona wanayaweka tu alphabetical.

    Halafu sio lazima uwaandikie barua kuomba kuvote. Kwenye site yao hapo kwenye mailing list subscribe eka email yako that is it. Lakini check your junk mails kama una high spam filter. Yangu ilikwenda kwenye junk mails.

    Good luck and let us vote for our girl.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2007

    Najua wengi mnamaliza shule sasa na mnafikiria kurejea bongo. Kabla hujafunga virago vyako kuja nyumbani pitia hii site www. kazitanzania.com you never know

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2007

    Kaka Michu naomba nikuambie kitu kimoja unazidisha mno ENTERTAINMENT. Mpaka sisi tusiyo washabiki wa kweli wa hizi fani karibu utatupoteza. ANGALIA UPANDE WA PILI. Tunaomba Picha za hao wanafunzi walio TUNUKIWA na JK kwa kufanya vizuri FORM SIX, tupe maendeleo ya Kikao CCM etc etc.


    Nawakilisha sheikh!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2007

    After confirmation of your vote you'll see the link results at the bottom you can click it and see the results

    good lucky

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...