Home
Unlabelled
mp & E
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa wanasugulika na nini?
ReplyDeleteWEWE KAMA HUJUI KUANDIKA KISWAHILI BASI ANDIKWA KWA KIZUNGU SIYO KUHARIBU LUGHA WEWE. UNAMANISHA NINI WANASUGULIKA NA NINI? UNAJUA MAANA YA KUSUGULIKA WEWE? AU UNATUKEJELI NA KULIZA KWAKO. BABAKE CHEKI SPELING ZAKO UNAPOANDIKA NA MICHU SOMETIMES NA WEWE PIA UNA BOAAAAAAAA KWANINI UNAIWEKA MESSAGE ILIYOKOSA SPELING.
ReplyDeleteCat,we need to know what ru guys dealing with.please.or is this ministry of planning and econ.... and what about other ministries?
ReplyDeleteHilo bango aliyeandika na kulipitisha liwepo hapo ni mjinga.Naona hata mabango mengine yako hivyo.Hao waonyeshaji wamesoma Chuo gani? May be Univercity Of Dar es salaam siyo vyuo vya nje ya nchi.Lakini wangekuwa wamesoma vyuo vya huku nje, wangetengeneza bango kama hilo lenye maswali lingefukuzisha mtu kazi.Lakini Tanzania wala utakuta hata mkurugenzi kalipitisha na wanalipana posho za ushiriki wa maonyesho.
ReplyDeleteBango ukiandika jina la kampuni inabidi uonyeshe kwa ufupi unashughulika na nini pale chini au pembeni kulia penye jina la Kampuni.Lakini kuandika kifupi tu hivyo Ni uandishi wa mtu aliyefeli chuo akapewa marks za bure.Aliyeandika na aliyelipitisha hilo bango na hao akina dada waonyeshaji hapo nikirudi masomoni nikaajiriwa kama meneja mkuu hapo kwenye kampuni nisiwakute nitawatimua bila maruprupu sitajari sheria zenu uchwara za kazi zinasemaje.
jamani haya mabanda ni ya msimu gani na yako wapi. au sabasaba imeshafika. mbona habari nyingi humu ndani hazina 'utambulisho' wala 'kilishanyumba' tafadhani naomba kudadafuliwa. michunzi hata hivyo tunakupongeza.
ReplyDeletesi unawaona wanauza maua "rozi" hapo?
ReplyDeleteau ukitaka unapiga picha na computer ukiwa umeshika hayo maua?
maana banda chovu, wenyewe wahusika kama hawana habari na kinachoendelea sijui wanamshangaa nani vile? maana watu wa bongo kwa kushangaa? sasa uko maonyeshoni hata interest huoneshi! wako kama vile wako stendi ya basi!
ebu ncheke mie! eti maonesho ya teknolojia! ndio maana hadi mwisho watu wanauliza hapo juu kuwa hawa wanasugulika na nini ha ha ha haaa. anony wa 9:27 umenichekesha! na alokujibu wa 3:03 ndio kabisa. maana wanatuchanganya ati!!
it is high time TZ tukajifunza kuwa serious na kuwakilisha! Represent what you claim to be presenting. maana jamani hata wajihi, na mwonekano tuu mtu kazubaaa hivyo jamani atakwambia nini sasa maana ni kama unamshtukiza! kaa! hatuwi judgemental but duh!
we anonymous wa 12:07 utamfukuza kazi babio wakuja tu wewe kama uko majuu au machini utaji JJ.Babake hafukuzwi mtu kazi nakupa fact utamfukuza kazi nani? babio. unajitapa umesoma na kusoma huna mpango wowote fikra zako ziko finyu kama sisimizi, umesahu ulipotoka siyo leo hii unajifanya msomi kwa kuwa kibaraka cha wazungu. nyoo!!
ReplyDeletena wewe BALUBA MANUMBU.. du unajina hata wazungu kulitamka wanashindwa na wanakukatiza duu jina la kiasili hilo siiyo sasa nakuliza iweje leo unapapatikia vya wenzio maana unatuponda technologia yetu sasa kama si ulibukeni ni nini hasa. kama umesoma,au unasoma unasomeshwa naona bado rudi shule tena ukachukuwe somo la history ya nchi uliyopo uijue hasaaa ikukae kichwani mwako chenye utetere. nchi zote zilizoendelea na angalia uhuru wao ni miaka mingapi na uhuru wa nchi yetu ni miaka mingapi, we have a long way to go kwa hivyo change zitakuja tuu usiwe na pressure na hapo tutakapo kuwa super na bongo yetu nadhani utafunga domo lako na kuduwaa.
mijitu minginewe bwana badala ya kusifu japo kidogo na kuwapa moyo wenzenu wa nyumbani leo hii mnawaponda, hata ushauri hamna wa maana mankuja bure kwenye blog ya michu na kuchonga sana, mijitu kama nyinyi life zenu zinawashinda ndo maana mkawa na maneno kila leo kila pembe.
kuweni wastarabu kidogo na moyo wa upendo na huruma kwa wenzenu wa nyumbani tunajitahidi tupeni moyo siyo kila leo kutuponda kisa mko majuu na mmepata kufungua macho maana mlikuwa kizani huko mlipotoka ndo maana mnaviona vya majuu na vya kizungu vizuri zuri.
we anonymous Tuesday, May 15, 2007 11:27:00 PM
ReplyDeleteUmejitahidi wanakulipa bei gani hao maana umetetea sana..kama hazitoshi wanazokulipa basi tutakuongeza maana unajua kutetea kweli watu kama nyie kama mko wa tano tu basi kungea kua na kazi..angalia siku nyengine punuza ghadhabu,,kisha waambie wakuongeze mshahara maana unawatetea
we anonymous wa friday 15th, mjinga sana wewe sina wakati kwa kutupiana maneno na weweeeeeeeeeeeeee na inaonyesha huna ustaarabu wowote.umewaacha ndugu yako na jammaa hapa nyumbani wanakufa na nja na wewe unajiona ndo zinga la mjanja kwa kuwa kibaraka cha wazungu utakufa watakuchangia ulitwe mzoga wako nyumbani tu.
ReplyDeleteMjinga sana wewe umeona pesa ndo msingi wa maendeleo, lakin si kulaumu ndo kilichokupeleka ughaibuni maana umetoka katika familia ya kifukara na ughaibuni wamekukosha macho na ukaona mataa yao yakakutia mawenge ndo maana ukawa na biburi cha zarau kwa wenzio walio nyumbani.
kumbuka ulipotoka hata ukivaa tai na suti daima wewe mbo mbongo tena uliyekosa ustaarabu na huruma kwa nduguzo walio nyumbani. nyoooo utajijuuu...
weka mbele pesa kifo kinakusubiri na ushamba wako uliokosa utuu na ugwana kwa nduguzo wakitanzania.
tunakusubiri kwa hamu kubwa uje utufukuze hizi ajira zetu na kisomo chako cha matani,daima kibaraka tu chawazungu weweeeeeee. nyoooo