bichi ya mtwara ambapo wadau wanavuka kwenda kisiwa cha msangamkuu, ambako ni nyumbani kwa yule beki wa kimataifa wa taifa staaz ya enzi hizo mohamed chuma ambako aliishi hadi anaaga dunia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2007

    Tuna bahari nzuri sana basi tu hatujui kuitumia.

    Penye miti hapana wajenzi. Hapo panatakiwa patengenezwe a nice gateaway. Maficho mazuri sana hayo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2007

    Sir Issa TUNASHUKURU SANA KWA HIZI PICHA ZA MTWARA..HAPA MAHALI PAZURI KAKA...ASANTE SANA..HUKO NI MWENDO WA NGALAWA/BOTI TUU AU..NAUHAKIKA " KAMA SIKOSEI MKAPA ALIMWAGA BARABARA YA LAMI.. IS IT TRUE..??"

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2007

    Hao ndio wapiga kura ambao wakipewa khanga na sukari na sh. 2000 wanapigia kura majizi. Kazi ipo Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...