kuna wadau kibao ughaibuni ambao wanataka kuja kufunga ndo bongo na wameuliza kama hwa jamaa http://www.kayscar-rental.com/ wana lincoln nyeupe ngongoti. nawasilisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2007

    Wamefanya vizuri kuuliza kama gari la namna hiyo lipo.Kuuliza si ujinga.Naomba na mimi niwaulize baba zao wanalo kama hilo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2007

    WEWE ANONY MJINGA KABISA UKISHAKUWA MTU MZIMA BABA YAKO NI WA KUSAIDIWA NA WEWE KUWA NA AKILI WEWEE.....WATU WANGAPI BABA ZAO WANAZO WAO WANAMANGAMANGA MITAANI NA WANGAPI WAMEKUWA SUCCESSFUL BILA BABA?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2007

    Gari hilo lipo unakaribishwa sana tumia website kubook kwani simu zao zipo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2007

    GARI LIMOUZINE HILO LIPO BONGO NA LA KITAPELI NA NI LA -IDDI JANGUO- KATAPELI NA KAPIGWA BREKI MAREKANI, SIJUI KAMA LIMEIMPROVE SASA MAANA KWENYE HARUSI 3 NAWEZA KUTESIFY HILI LIMOUZINE LA IDDI JANGUO LILIKWAMA NA KUKATAA KUWAKA MPAKA KUSHITULIWA NA MAGARI MENGINE WAKATI MA BIBI HARUSI WAMO NDANI. LAKINI NAONA WATAKUWA WAMEREKEBISHA HILI JAMBO LISITOKEE MAANA LILIKUWA LIKIONGELEWA NA MJI NZIMA. KUWENI MACHO. AHSANTENI.

    ReplyDelete
  5. Kwanini wasifungie ndoa huko ughaibuni?Kwa maana wanajidai wanamapesa and high quality of fashion wasije wakatunikishia jiji letu bure wakae na morgage zao na ndoa za bandia sizo na milah wala desturi wasubiri kurudishwa kwenye mabox ya dollar mia mbili

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2007

    Men! Balekele u got some issues.

    ReplyDelete
  7. kinachoongelewa ni kweli kabisa kama una matatizo yako be damn quiet nyie ndiye wazazi wenu wameiibia TZ pesa.Nyani haoni kundule and be quiet cause you do not no me very well,and the turth hurts.

    ReplyDelete
  8. WEWE NI PERFECT YOU HAVE NEVER DONE ANY MISTAKE ARE YOU AN ANGLE FROM WHICH HEAVEN OR ONE OF YOUR FAMILY MEMBER IS MARRIED PIGS IN U.S.A.OR IN OR DO NOT BE OFFENSIVE ARE YOU A DAUGHTER OR SON OF BILL GATES OR BUSH???????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...