rangi nyeusi na hudhurungi humechi vizuri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2007

    Mithupu MIGUU hiyo!! Kwa mtaji huu wengi hatuponi, miguu imetulia hiyo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2007

    Tangu lini Michuzi umeingia kwenye fasheni? hebu acha upuuzi

    ReplyDelete
  3. Kwa miguu hii hapa na kifua kama hicho hapo juu sio ajabu vijana wengi wakisema ndom hawaziwezi ila wao wanapiga "bare" tu.Tubadilike jamani,bare tamu ila inalileta kaburi karibu yako!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2007

    This is what im talking about miguu mizuri hii.Dada zetu wa nyumbani wako very feminine,wametulia jamani dada zetu wa huku wamekomaa kama midume miguu vigimbi mazoezi kila siku kazi kufurahisha wazungu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2007

    Hapo tena Michuzi unacheza uhuni wako. Unatonyesha Rangi Neusi au huo mguu wa Chupa ya Bia? Safi sana lete vitu kama hivi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2007

    kaka hii miguu mbona itatia nyege, lakini huenda anacheza kale kamchezo huyu mama naona cheni mguu wa kulia hebu nambieni washirika nini maana ya cheni hiyo kulia.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 27, 2007

    Salaaallah,
    michu, ina maana hii miguu ndo imeunganishwa na hiyo ya hapo champagne,duuuh mtoto mtamu si mchezo.Kwa mwendo huu watakufa vidume wote watabaki vichaa tu.nisalimie huyo mdada.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 27, 2007

    hili ni guu la kihaya - nani anabisha ?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 27, 2007

    sitoshangaa nikiambiwa dada mwenye miguu hiyo ndiye mwenye mtini hapo juu !
    Asalaale !kweli kuna watu wanafaidi duniani !

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 28, 2007

    Hey hii miguu yangu niachine mwenyewe Mwenyenzi Mungu amenijalia...ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 28, 2007

    Kama miguu na champagne picture ni ya mtu mmoja basi akija USA huyu anaeka kwenye strictly diet kwa vile huyu yuko overweight sana tu ....hamna hata health insurance itakayomkubali...

    Nyie wanaume wa bongo mnataka minofu wakati akipata pressure na kisukari mmeshamsahau mnakimbilia mwingine

    ReplyDelete
  12. inshomile the have no soup Sukumaland ndiyo yenyewe wahaya mitindi na matako hutajua kama anaenda au anarudi

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 28, 2007

    duh huyu dada ni yule wa shampegne maana skin comlpex ni moja wewe michuzikuna agenda ya zaidi maana umeanzia kifua ukashuka na miguu. haya kabarikiwa kwa kweli

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 28, 2007

    duh MICHU we kiboko, ulidhani hatutaweza kuunganisha rangi na matukio?? umeona tumegundua picha ya juu ya champaigne inaweza ikawa ni ya mtu mmoja umeamua kuitoa eeh?? turudishie wadau wako usitunyime uhondo ambao uliamua mwenyeweee kwa hiari yako hukulazimishwa kuweka. TOSO

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 28, 2007

    Bwan Michuzi tafadhali turejeshee ile picha yenye kifua kizuri cha kike, acha kutunyanyasa wadau wako.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 29, 2007

    Michuzi chonde chonde turudishie ile picha ya champagne na mdada aliyekuwa anafungua.nilituma commemt zangu hata hukuweza kuruhusu .kumbuka blog ni ya wadau na tafadhali zingatia maoni ya wengi

    ReplyDelete
  17. Aaa nie ha ha ha ha m-medata!

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 29, 2007

    Washikaji kwa LEG LINE mmefika kimi na tano unaona sasa FLAVIA MATATA katoka bila kitu palepale tu alipofika !!!!
    MICHUZI TOA HII PICHA !!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 30, 2007

    michu tuoneshe na makalio basi mbona unafanya mambo nusu nusu, tafadhali

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 30, 2007

    Sasa Michuzi hii picha naona ni kizaazaa KWANI TENA IMETOKEA KWENYE GAZETI LA DIMBA toleo no:1140 ukurasa wa 6 MAMBO YA HATI MILIKI YAMEKAAJEEE?? mzee mzima au ni wewe tena na huko !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...