Home
Unlabelled
pinda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aaah, OK!!! Pinda???? Right! The bullshitter who can not distinguish between famine and malnutrition. Thank you Sir!!
ReplyDeletekuweka mkono mfukoni kuna maana nyingi, I hope hayakumkuta wakati anasalimiana nao.
ReplyDeleteAdam Malima hakuwepo nini? Angedai kuwa mikutano mingi ya serikali inatumia maji ya Kilimanjaro ambayo ni kampuni ya Mengi, watumie ya visima vilivyochimbwa na serikali
ReplyDeleteUbungo plaza hata Dr Shein anakwenda?
ReplyDeleteMimi nimetoka mikoani najuaga Ubungo is so Gheto.
Kusalimia mtu huku ukiweka mikono mfukoni ni kuonesha dharau. Africa tupo nyuma na hakuna heshima kabisa.
ReplyDeleteHuyo jamaa anae cheka cheka na mkono mfukoni ilibidi hasiweke huo mkono mfokoni na kusalimia watu vizuri.
Kingine kusalimia mtu huku umekaa chini pia ni dharau. Huu ni mfano tu baba angu.
Chao.
Heshima si kuweka mikono mfukoni wewe.Hao watu wanajuana na wanaheshimiana.
ReplyDeleteMzee Pinda kwa heshima humuwezi.Nenda siku unaonane nae kama atakuwekea mikono mfukoni.
Endelea mzee kuleta maendeleo.Go Pinda.
Michuzi twashukuru kwa kazi nzuri.
ReplyDeleteNaomba kutoa hoja sasa kijiwe chako kikae kama KAMATI na kujadili ripoti ya mkaguzi mkuu wa Serikali. Juzi kupitia BBC nilisikia wakiiongelea. Kisha nikasikia wakiongelea na ripoti ya mkaguzi mkuu kule Uganda. Tofauti ya hii yetu na ile ya Uganda ni kuwa yule mkaguzi mkuu wa Uganda alitoa mapendekezo nini kifanyike kwa waliofuja hela ya umma.Raisi Museven (M7)amekubali.Pamoja na wengine wapo mawaziri watatu waliotumia vibaya fedha za global fund, na sasa watakabiliana na mkono wa sheria.Hapa kwetu kuna udhaufu wa aina mbili:
Kwanza, Ripoti yenyewe haikusema hawa wezi waliotumia kalamu zao kutuibia hela zetu wafanywe nini. Haikuwataja specificallty kama ile ya Uganda.
Pili, Mwitikio wa viongozi wetu umekuwa dhaifu mno kiasi cha kutiliwa shaka.Eti hawa wezi wameambiwa wajirekebishe. Ebo!. Kule walikopata hati chafu si wanajulikana kwa nini wasingekamatwa na polisi washitakiwe.Are we really serious?.Mheshimiwa rais hivyo vikao vinazidi kuendeleza upotevu wa pesa chukua hatua, kumbuka mheshimiwa rais, vitendo huongea kwa sauti zaidi kuliko maneno.Toa amri tu, wote waliofanya usanii na hela yetu sisi wananchi ambao ni waajiri wako, wezi hao wastaafishwe kwa manufaa ya umma, washitakiwe na wafilisiwe. Ukifanya matendo haya yataongea kuliko vikao mia.
Hivi ndugu wananchi, mbona wezi mitaani tunawachoma moto( siungi mkono uchomaji moto) lakini hawa jamaa tunawaacha wanaendelea kutanua?. Kwanini tusimshinikize rais ambaye sisis kwa kura zetu tumemuajiri. Ili atoe amri washitakiwe. Akumbuke alpokuwa pale wizara ya Ardhi alisema yuko tayari kuanza moja.Kuna vijana wengi tu hapa nchini , graduates wanaweza kulisaidia hili taifa. Mheshimiwa waondoe hao wezi. Au ule muda uliosema unawaopa wajirekebishe bado haujatimia?.Wakati wa kujirekebisha umekwisha .Wezi hawa wafikishwe mahakamani wakajitetee kama hawakuhusika.
Wanasema hakuna hela ya kuongezea ile 40% kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wakati wao wanazila bila aibu, wakiongeza ukubwa wa matumbo yao.
Tatu, kule Uganda tunaambiwa mkaguzi mkuu wa serikali ana hadhi kama ya jaji mkuu. Hapa kwetu hali ikoje?. Huyu mheshimiwa anahitaji mamlaka ya kudhibiti na kupendekeza hatua za kuwachukulia hawa wezi, anahitaji ulinzi wa hali ya juu,asituambie tu matumizi mabaya, atueleze wahusika kwa nyadhifa zao na hata kwa majina.Kwa kuwa hela hizo ni zetu sisi walipa kodi tunapaswa kujua kila kitu.Kifupi huyu bwana ACG apate meno makali zaidi.
Hatuwezi kuendelea kama tutaendelea kuoneana aibu. Kwa kuwa tu ni wa chama chetu basi tunamuacha. Kwa kuwa tu anajuana na waziri fulani na huwa wanapata nyama chma pamoja basi asiguswe.Haiwezekani.Ni lazima tujenge uwajibikaji wenye maadili mema.Lazima tujenge mifumo itakayowafanya mafisadi wakome kutenda wanavyotenda. Lazima tuonyeshe kuwa nchi hii ina wenyewe na wenyewe ndio sisi. Yaani mimi, Michuzi na wewe unayesoma.
Baada ya kusema hayo machache, sasa kwa heshima kubwa naomba kijiwe cha ndugu Michuzi kikae kama kamati na kuijadili ripoti ya ACG.
Naomba kuwasilisha.
Huyu Jamaa alitakiwa kuingia kwenye shindano la Masoud na Dr Lemmy Hivi alikuwa wapi enzi hizo nafikiri angeshinda. Jina na Sura vinaendana kabisa baba yake hakukosea kumwita Mizengo a.k.a mizwengwe, mtoto akikataa kula we sema pinda huyo anakuja, utasikia anasema bathi baba nakuuula uthimwite nakuuula baba.
ReplyDeleteIlani kichwa kwenye Administration kweli mungu hakunyimi vyote.
huyu jamaa alishazoea harusi sasa hapo kajisahau kaingiza mkono mfukoni ili atoe zawadi
ReplyDelete