Home
Unlabelled
posta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu hajatulia, msimpe KURA, anataka KULA tu, HARI ndiyo kitu gani tena?
ReplyDeleteYani hata kiswahili fasaha kinawashinda- I thought kwa sasa "ARI" ni neno common sana, wakati wa vilabu vyetu kuongozwa na watu wa blah blah umepitwa na wakati, elimu inatakiwa iwe kigezo cha msingi sana.
ReplyDeleteLabda inatakiwa spelling check program ya kiswahili. Nimeshaona mambo mengi tu yakutangaza huko bongo kwa kiswahili yanakosewakosewa tu. Watu wana type na kuprint tu right away bila ku proofreading
ReplyDeleteWe anon hapo juu unajifanya kurekebisha watu kumbe na wewe bure tu,ku proofreading ndo nini? sema ku proofread.Jifunze kwanza na wewe.
ReplyDeleteMi nimeliona hilo la ARI ila lingine ni kura ya NDIO nafkili kura hii inatumika kama kuna mgombea mmoja kama uchaguzi wa miaka ya nyuma ya Urais kabla ya 1995 ambapo tulikua na wagombea wengi! mnasemaje wadau?
ReplyDeleteTehe! tehe! teh! tee! Mpe mpe huyo Mwanangu!
ReplyDeleteAtoe kwanza BORITI kwenye jicho lake kabla hajatoa KIBANZI kwenye jicho la mwenzake. Tehe! Teh! tee!
Wote hamjui alitakiwa aseme Kusahihisha
ReplyDeleteWhat is wrong with proofreading you damn ass labda angetakiwa kusema kusahihisha kama alivyosema huyo anoy hapo juu. Msijifanye mnajua sana kumbe hata nyie hamjui
ReplyDeleteAcha ufala we anony. wa 31st May-4:35 hapo juu. Kama hujui au hajasomea language ni bora ukae kimya kuliko kuandika utumbo hapa.
ReplyDeleteHakuna mwenye ugomvi na neno proofreading kama lilivyo. Tatizo ni jinsi alivyolitumia hapo - "conjugation of verbs." Huwezi ukasema " bila KU-PROOFREADING" hata siku moja, hapo utakuwa verbs hujazi-conjugate vizuri. Alichotakiwa kusema ni ama "bila KU-PROOFREAD", au angeacha "ku" na kusema "bila PROOFREADING". Ukisema bila ku-proofreading yaani ukiiweka kwa kiingereza itakuwa without TO PROOFREADING. Kiingereza cha wapi hico? Sasa kwa kiingereza tunasema without to proofreading au without proofreading?
Umesoma elimu ya MMEM nini wewe!?! Kama huelewi na we uliza. Sio kukulupuka tu hapa!
Weeh PEREZ hapo juu nawe inaonyesha hujui kiswahili hasa neno HICO sijui kama linapatikana katika kamusi ya kiwashili au ni kikwenu yaani kikurya ???? Jirekebishe kwanza kabla haujarekebisha wenzio !!
ReplyDelete