Home
Unlabelled
shingo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kipi ni sahihi, dawa ya panya au sumu ya panya. Kwa upeo wangu dawa inatibu na sumu inaua!! Wadau wa kiswahili mnasemj?e
ReplyDeletenikweli kabid anymous wa friday may 25 at 12:56 nakuunga mkona dawa ina tibu na sumu inaua. Tusamehe bro michu maana naona kiswahili kinamshindwa siku hizi wanakiswahili cha slang huko nyumbani ndo maana na wasipoangalia watakipoteza lugha yetu tamu na ni adimu. kila kitu siku hizi kuwakopi wamajuu zamani tulikuwa tunawashanga wakenya na mataifa menginewe wasiojua kuzungumza kiswahili vizuri siku hizi eti ni fahari na kujitapa tukiwa tunakibadilisha kiswahili chetu. hasara hasara tupu kabisi hawajijui ndo maana na inasikitisha.
ReplyDeletebaraza la kiswahili limelala fofofo jamani poleni eeh.
Nakubaliana na wewe sumu ya panya ina make more sense.
ReplyDeletehahah nyie mnanikumbusha dawa ya meno au dawa ya mswaki..Ua pembe za ndovu na meno ya tembo.
ReplyDeletechabo
ReplyDelete