Home
Unlabelled
shoprite
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwahiyo siku hiyo ndio ile wafanyakazi walogoma??? ...am only curious!
ReplyDeletePay points ni nzuri/safi sana ni kama za TESCO, Sainsbury's, MORRISONS, ASDA, Waiterose n.k. za UK!!!
ReplyDeletesafi sana hiyo mall-standard ya juu kabisa.
ReplyDeleteMichuzi umepata wapi kibali cha kupiga picha?? Mie nilikuwa hapo hivi karibuni sikuruhusiwa kupiga picha- kwa sababu za "usalama".
mkereketwa kama wewe ulizuiliwa ujue kuwa hujaqualify mwenzako michu ni mwanausalama sasa hawawezi kumzuia kupiga picha.
ReplyDeleteYa pay points ni za modern supermarket kama za UK ila kinachonipa wasisi na Cash collectors watakuwa kama wa UK? na kwingineko kwenye uaminifu, kwa bongo ninavyoijua hata uwawekee camera wataiba tu. Wata collude na customers vitu vya Sh 20,000 wanakuambia toa elfu kumi halafu mnagawana elfu kumi inayobaki, Hiyo ndio bongo yaliisha nikuta mimi SCORE nikiwa bongo sikujua ni nini kinaendelea jamaa akaishia kuniambia mnoko. Kwa mtaji huo nafikiri na wakusanyaji nao watoke TESCO, ASDA, MORRISONS, S'Burys, SPUR na hata Carrefour
Yes duka la Shoprite wanajitahidi. Kwanza napenda kumuunga mkono anonymous mwenzangu ktk kukemea tabia ya udokozi ya wafanyakazi wa duka hili na wa sehemu zingine za kazi kwa ujumla. Mi naona udokozi hausaidii kumuinua mfanyakazi kiuchumi. Hivyo vijihela vyakudokoa sanasana vinawezesha starehe ndogondogo zisizo na maana na kukidhi tamaa za juujuu tu. Maendeleo ya kweli kwa mfanyakazi yanatokana na kufanya kazi kwa uadilifu, utiifu na uaminifu. Kama kipato hakitoshi, tutumie njia rasmi (proper channels) za kudai haki zetu kama kuzungumza na mwajiri, vyama vya wafanyakazi na migomo (sit-down strike as a last resort). Kipato halali kinachokidhi mahitaji ya mfanyakazi pia kinaleta maendeleo kwa maisha ya baadae kupitia pensheni. Hela ya udokozi inapenshen? Tutafakari. Afu ningeomba cashiers wa Shoprite wanapokosa change wajenge desturi ya kuomba radhi kwa mteja inapobidi arudishe chenji pungufu kwa mteja na sio "kukauka". Hizo sh.30/- wanazokata zikizidishwa kwa wateja kama 10,000 zinakua nyingi. Au ni dili?!
ReplyDelete