mabinti sumary nakaaya na nancy ambao wikiendi hii wanawasha moto ughaibuni kwa shoo kabambe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2007

    kWELI HAWA WATOTONI WAZURIILAHUYO NAKAAYA APUNGUZE UZITO KIDOGO

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2007

    hallo kaka michuzi, mambo vipi?

    kwanza pole sana kwa kipigo cha juzi.ndiyo mpira wa miguu ulivyo. nafarijika na kwamba umejikaza kiume....hongera

    mie naomba fungua mjadala huu kwa kuuliza maswali kama si kaswali.

    kuna kipindi niliwahi sikia nancy sumari yupo chuo kikuu mlimani, sasa imekuwaje au alishamaliza course yake ya sheria? pili huko marekani nasikia kwamba ni mafanikio ya bwana loon katika safari yake ya dar, ni kweli?

    kama yatakushinda basi si mbaya kama ukiwapa nafasi wananchi wenzangu tupate kujadili.maana naanza pata wasiwasi na huu umiss world wake kama mambo ndiyo haya.

    nani bora kati yake na sepetu?

    naweka kalamu chini. naomba jibu.

    ReplyDelete
  3. They look great....Aaaa!! Naakaya mi nakumind huku Bongo mbona hujatupa mambo unayoenda onyesha ughaibuni...PROMISE US ukirudi tu Bongo unaachia track

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2007

    hawa watoto walikua wazuri sana, siku izi ........... mmmhhh

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2007

    chakula ya Loon hiyo, mnugu anatakuwa anajiponea sasa hivi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2007

    Huyu Anonymous Friday, May 25, 2007 2:17:00 PM ni mbeya au mtaku kama vile wanawake wanavyosema sasa hata kama anasoma Mlimani au asomi wewe ndio inakuhusu nini ? je ndio unayemlipia school fee plu other expesi. kuhusu huko mafanikio yake hapo mpo hongera au muumbee dua ili hafanikiwa maana ndio mbongo mmoja akifakiniwa ndio milango ya wengi inafunguliwa ili watu wa nchini nyingine ndio wajua tuna kitu gani . Pia pia pia pia mambo ya Loon wewe unatakia nini ? mbona wewe ndio mke wa mtu ya shoga. mwanamume mwezako anakuweka ndani sisi hatusemi kitu sio kama upo happy ndio wewe na sisi hatutaki kujua . hapa ndio ninacheka sana eti nini kama yatamshinda ndio ufahamishwe falaaa wewe . Ninakupa story mmoja mind you own businesss , the end of the days kila mtu anamambo yake binafsi sio lazimatujua na kama hanataka tujua aweke wazi sio tulazime ili hapo baadaye ndio tupate maneno ya kusema.
    Ushauri wangu kwa kina Kaaya hongera sna na your so beautiful, do what ever you what to do as looong you known what are doing while you fail or win is you and your family sio hawa mafalaa wanataka kujua mambo yako kila kila mara. damn wabongo wache umbeya, huu ndio wakati wa kujenga nchi na pia kumsaidia Jk kama pale anaelekea vibaya na kumwongoza ili watupa maendeleo ya nchi izima.. mzalendo......

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 25, 2007

    WAPATE DROPS KIDOGO KWENYE MACHO NAONA YANA UWEKUNDU WEKUNDU KWA STAR HAIPENDEZI HATA KWA REGULAR PERSON BALI STAR ZAIDI MAANA ANATUONYESHA UREMBO WAKE.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 25, 2007

    Jamani naomba kuuliza....... Kwani Nancy amekua Msanii siku hizi?????? au kuwasha shoo maanake nini ??? au michuzi umechapia kwa kusema wote wanawasha moto wknd hii

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 25, 2007

    huyo mwenye nwele nyeusi angeweka bang kidogo. nyewke zinaonyesha kabisa sio za kwake. bang inapunguza mtu kugundua right away. jus my advice

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 25, 2007

    Nao wamekuwa MAREVERSE nini?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 26, 2007

    Anon wa Friday 7:40 pm,
    Naona umejitahidi sana kama umetumwa vile au kama ni nakaaya au nancy vilee kwa jinsi uliyowa/jitetea. na english yako kama 'maimuna'. Ila una 'KIGUGUMIZI KIKALI', mpaka kwenye kuandika 'pia pia pia pia, au 'kila kila' au...

    Ila kwako falaa ni kama kuvuta pumzi kwa jinsi unavyoipenda.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 26, 2007

    nakaya unapendeza zaidi ukiwa una nywele fupi zaidi kama hapo awali. halafu naona unaongezeka sasa angalia utatisha shauri yako. vp mama anaendeleaje lakini. NOPE

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 27, 2007

    Duuuh huyu naakaya sio mchezo huo mdomo naona chapati hakunji,kazi kwelikweli.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 28, 2007

    cute gals...i like Faraja,she is smart.I hope she is stil the same.Faraja Kotta kaishia wapi?sijamsikia siku nyingi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...