taarifa ya umoja wa vyama vya wanafunzi vyuoni kuhusu msimamo wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2007

    Nilisema hawa vijana wataiangukia serikali tuu....Na hapo ndo serikali inafurahi!!! Ama kweli....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2007

    Kuomba msamaha kwa hawa jamaa wa ni kuwadhalilisha hao waliogoma kwamba hawakuwa na madai ya kimsingi. Hakukuwa na msingi wowote wa kuomba msamaha ni Ujuha tu wa hao viongozi wa kupenda kujipendekeza kwa viongozi wa serikali na kujitahidi kuponda hata jitihada za vyama vya upinzani waliokuwa wanawatetea hao wanafunzi.

    Wanafunzi mkirudi endeleeni kudai haki zenu..Haki ya mtu haipotei ila inacheleweshwa tu. Fedha zilizotumiwa vibaya serikali, kwa rushwa na vingine ni nyingi mara kumi kuliko wanachodai wanafunzi.

    Serikali yetu najua wana uwezo wa kuwalipia wanafunzi ila ni mishinikizo ya wafadhili ndiyo inawabana. Kwa nini wasifike mahali wakawakatalia hao wafadhili baadhi matakwa yao? Ooh Cost sharing..wakati huku kwa wanafunzi hamna cha cost sharing. Mimi hapa nasoma Master hapa Dublin..napata scholarship ya serikali ya Irish..kwa mwezi napewa stipend €500, na mwanafunzi wa hapa anapata grant si mkopo wa €2500 kwa mwezi. sasa kwa nini sisi tuambiwe kwamba watu wetu .cost sharing?? halafu pimbi kutoka sijui wapi anasema "naomba msamaha" ni ujinga na wala siufagilii hata kidogo.

    Maoni kutoka Dublin

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2007

    WAMEBOA SIJAWAHI ONA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2007

    NAJUA MICHU hii utaogopa kuitoa sina nia mbaya. Mi ni mtu mzima situkani natoa maoni. Ndo kazi ya blogu....

    Jamani mwakilishi wa IMF na WB wako wapi? Watahadharishwe juu ya Kikwete. Hashindwi kuchapisha pesa kama Idd Amini ili watu wampende. Hata huko kuombwa msamaha ni mbinu tu....Anataka kuwa kama Nyerere alivyo ombwa msamaha miaka ya sitini. Kazi kwelikweli!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2007

    Msiwashambulie ni sehemu ya muafaka kati yao na serikali. Kwamba waombe msamaha halafu wasikilizwe na kwa taarifa yenu watapewa mkopo 100% very soon. Hiyo ni strategy ya kuonyesha JK hakuchemsha Na atasema kama mzazi amesikia msamaha na anawasamehe na atawapatia mkopo kwa 100% kumbe ninyi hamjui janja ya Siasa. CCM wanataka kuwakata kidomodomo wapinzani kwa kulivalia njuga suala na kuonyesha kuwa CCM is everything. Tulieni mtasikia

    KITAWAKITA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...